Dodoma FM
Dodoma FM
31 January 2025, 11:25
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu madogo madogo katika miradi 31 ya maendeleo kati ya miradi 32. Na Orida Sayon Akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwezi…
27 January 2025, 2:42 pm
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wadau wa mahakama kushirikiana kutimiza malengo ya maadhimisho ya wiki ya sheria. Ametoa wito huo leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya sheria iliyofanyika katika viwanja vya NSSF karibu na TBC Tabora.…
21 January 2025, 16:07
Wavuvi wanaofanya shughuli zao katika ziwa Tanganyika wametakiwa kutumia zana za uvuvi zilizoruhusiwa na kuainishwa wakati wa kuvua ili kulinda mazalia ya samaki. Na Josephine Kiravu – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amezindua kiwanda cha kuchakata…
21 January 2025, 14:23
Serikali imesema itaendelea kuwawezesha wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi ili kuwasaidia kupata mazao yenye ushindani na kuongeza thamani. Na Tryphone Odace – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amewasili Mkoani Kigoma na kupokelewa na Mwenyeji…
17 January 2025, 10:05 am
“Uchafu wa mazingira katika migahawa unaweza kusababisha magonjwa ya matumbo pamoja na kipindupindu “ Na Leah Kamala – Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Wamewataka wamiliki na wapishi wa migahawa kuzingatia usafi ili kujiepusha na ugonjwa wa Kipindupindu. Wakizungumza…
15 January 2025, 12:34
Kutokana na umuhimu wa chakula kwa maisha ya binadamu, ustawi na maendeleo ya nchi, suala la kuhakikisha kuwa chakula ni salama kwa matumizi ya binadamu linapewa kipaumbele na kuzingatiwa kikamilifu kwa lengo la kulinda afya ya walaji na kuwezesha utoshelevu…
15 January 2025, 12:09
Kufanya kazi kwa bidii na kumiliki uchumi kwa mtu mmoja mmoja kunachangia pato la nchi kuinuka na kupanda zaidi Na Timotheo Leonard Waumini wa Kanisa la Pentekoste Motomoto PMC tawi la Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji wameshauriwa kufanyakazi kwabidii kwalengo…
13 January 2025, 14:27
Wavuvi Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kufuatailia utabiri wa hali ya hewa ili kuweza kufahamu muda gani wa kuingia ziwani kuvua na kuepuka dhoruba za upepo wawapo ziwani. Baadhi ya wavuvi katika Ziwa Tanganyika wamelalamikia changamoto ya upepo mkali na mvua…
8 January 2025, 13:05
Ili kuhakikisha samaki zinaongezeka ndani ya ziwa Tanganyika, serikaliimeendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuwawezesha wavuvi na kuwahimiza kutumia vizimba ambavyo vitatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki na kusaidia kuharibu mazalia ya samaki ndani ya ziwa hilo. Na Timotheo Leonard…
8 January 2025, 11:25
Ushiriki wa mwananchi mmoj mmoja katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kunasaidia miradi kukamilika kwa wakati ili kukamilisha kwa wakati. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wilayani Buhigwe mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na Serikali kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo…