Dodoma FM
Dodoma FM
11 August 2025, 1:58 pm
Ubovu wa barabara umekuwa chanzo cha magari ya eneo hilo hasa mabasi ya abiria kuharibika mara kwa mara. Na Kitana Hmais.Inaelezwa kuwa Kutokutekelezwa kwa ahadi ya Barabara ya lami kiteto kumefanya Wananchi kutotimiza malengo yao. Hali hii imepelekea wafanyabiasha wa…
28 July 2025, 5:23 pm
Na Mandishi wetu. Mchambuzi wa masuala ya uchumi na jamii Zanzibar, Abdulhamid Mshangama, amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wanaotumia vibaya fursa ya mitandao ya kijamii jambo ambalo linaweza kusababisha kuvuruga umoja wa kitaifa kwa watanzania.Mshangama amesema hayo wakati akizungumza…
28 July 2025, 5:17 pm
Kampuni ya Nukta Afrika imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari radio za kijamii juu ya namna ya habari za uongo na upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii, hususa ni kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Na,Michael Mgozi Waandishi…
19 June 2025, 4:54 pm
“Elimu ni urithi pekee ambao mtu hawezi kuporwa na mtu yeyote hivyo tuwekeze elimu kwa watoto wetu bila kujali kuna ajira au hakuna ajira maana huu ni ujuzi wake ambao utakuja kumsaidia katika maisha ya hapa duniani”. Na, Daniel Manyanga …
10 June 2025, 10:24 am
“Hakuna sheria inayobagua watoto kutokana na mapungufu ya kimaumbile, binadamu wote kwa Mungu wetu sote tupo na haki hivyo ni wakati sasa kwa jamii kuachana na imani kuwachukulia watoto wenye mahitaji maalum kama vile ni mkosi, tuwapatie mahitaji yao kama…
28 May 2025, 7:51 pm
“Kumaliza rushwa hapa nchini ni changamoto kubwa sana maana hata watumishi umma waliokula kiapo cha uaminifu ndiyo wanakuwa watu na viongozi wa kwanza katika kutekeleza ubadhilifu wa mali za umma halafu hao hao ndiyo wanahimiza uzalendo haya ni maajabu kweli”.…
12 May 2025, 11:39 am
“Niliamka tu asubuhi nikawa ninajisikia vibaya nikaamua kwenda duka la dawa kununuwa dawa za malaria…kumbe ilikuwa UTI” Bi Fatuma Na Isack Dickson Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo,…
6 May 2025, 5:49 pm
Ikumbukwe barabara hiyo ilitangazwa kuweka kiwango cha lami na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe Magufuli alipo kuwa akizindua ujenzi wa reli mwendo kasi kutoka Morogoro Hadi Makutupola. Na Victor Chigwada. Imeelezwa changamoto ya ubovu wa barabara…
18 March 2025, 9:20 pm
“Elimu ya usalama barabarani bado haikwepeki hivyo mamlaka husika zinao wajibu wa kutoa elimu hasa kwa makundi ambayo yanaweza kuwa msaada mkubwa wa kufikisha elimu kwa jamii kubwa”. Na, Daniel Manyanga Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinaisha au kupungua mkoani…
17 February 2025, 6:13 pm
Serikali imepanga Kutenga asilimia kumi (10%) ya bajeti ya kila mwaka kwa ajili ya Miradi ya mafunzo kwa vitendo kwa Makandarasi Wazawa. Na Alfred Bulahya.Serikali kupitiwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa jumla ya…