Dodoma FM

uzinduzi

27 September 2023, 4:22 pm

Usimamizi mbovu wapelekea biashara nyingi kufa

Usimamizi wa biashara nyingi umekuwa ni changamoto na sababu kubwa inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara hizo. Na Mindi Joseph. Usimamizi wa Biashara kwa wafanyabiasha imetajwa kuwa bado ni changamoto inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara. Hayo yamebainishwa…

14 June 2023, 4:53 pm

Dodoma: Wafanyabiashara watakiwa kujiunga UBIMIDO

Umoja wa wafanyabiashara waendao mnadani umekuwa na umuhimu mkubwa hususani katika suala la kuwasaidia wafanyabiashara katika kusaidiana kwenye masuala mbalimbali. Na Thadei Tesha Wafanyabiashara jijini Dodoma wametakiwa kujiunga katika umoja wa wafanyabiashara UBIMIDO ili waweze kupata fursa za kujikwamua kiuchumi…

5 May 2023, 4:38 pm

Wafanyabishara Maisha plus waiomba serikali kufanya ukarabati

Baadhi ya wafanyabiashara wanasema kuwa  viongozi hao wamekuwa wakiahidi kupatia ufumbuzi baadhi ya changamoto hizo bila ya kutekeleza ahadi hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga  katika soko la maisha plus jijini Dodoma wameiomba serikali kufanya…

31 March 2023, 7:07 pm

Madereva bajaji Jamatini B wajivunia mshikamano wao

Na Thadei Tesha Madereva wa bajaji katika kituo cha Jamatini B jijini Dodoma wamesema kufanya kazi kwa umoja kama kikundi kumewasaidia kupata fursa zaidi kupitia biashara yao. Hapa ni katika kituo cha bajaji cha Jamatini b nafika na kuzungumza na…

29 March 2023, 5:56 pm

Hivi ndivyo hali ilivyo katika eneo la kimbinyiko

Madereva pamoja na wajasiriamali katika eneo la kimbinyiko jijini Dodoma wameiomba serikali kutenga eneo maalum kwa ajili ya kupakia abiria kutokana na eneo hilo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya madereva pamoja na wajasiriamali katika eneo la kimbinyiko jijini Dodoma wameiomba…

22 March 2023, 7:02 pm

Vijana waomba viongozi kutembelea maeneo yao ya kazi

Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa Dodoma wametoa ushauri kwa viongozi mbalimbali kutembelea maeneo yao ya kazi. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa…

20 March 2023, 5:35 pm

Wananchi wahofia bidhaa kupanda bei mwezi mtukufu

Baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo juu ya upatikanaji wa bidhaa za vyakula masokoni kuelekea mwezi wa ramadhani. Na Thadei Tesha. Kuelekea maandalizi ya mwezi mtukufu wa ramadhani baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo…

16 March 2023, 8:36 am

Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara

Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…