Dodoma FM

Kilimo,

9 August 2021, 12:44 pm

KILIMO HIMILIVU NGUZO YA UZALISHAJI KWA WAKULIMA

Na,Mhindi Joseph Dodoma Tanzania Tanzania ni Miongoni mwa nchi inayokabiliwa na mabadiliko ya tabianchi kwani Asilimia 1 ya pato la Taifa inatajwa kupotea kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi huku ikikadiriwa kuwa watu milioni 1.6 wanaoishi ukanda wa…

2 August 2021, 1:12 pm

Wachambuzi wa sera watarajia kukutana na wadau wa kilimo

Na; Mariam Matundu. Kikundi cha wachambuzi wa sera na Wadau wa kilimo wanatarajia kukutana katika kongamano la saba la mwaka kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuongeza tija katika sekta hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa kikundi cha…

26 May 2021, 1:15 pm

TARI watoa ushauri kilimo cha mihogo

Na; James Justine WATAALAMU kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), wamewashauri wakulima wa zao la muhogo kufuata ushauri wa kitaalam kwa ajili ya kupata mazao bora na yenye tija. Ushauri huo umetolewa na Mtafiti wa Mazao ya Mihogo…

7 May 2021, 12:42 pm

Vijana nchini washauriwa kujihusisha na shughuli za kilimo

Na; FREDY CHETI .                                          vijana nchini wameshauriwa kujihusisha na shughuli za kilimo ili waweze kujiajiri na kuendesha maisha yao. Wito huo umetolewa na Bi. Lucy Madala mtaalamu wa kilimo kutoka chuo kikuu cha kilimo (SUA) wakati akizungumza…