Kilimo,
29 April 2021, 6:52 am
Wakulima watakiwa kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani, maendeleo…
Na; shani Nicolaus Wito umetolewa kwa wakulima kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani kuhusiana na maendeleo ya mazao pamoja na aina ya viuatilifu vya kutumia kuhifadhia mazao yao. Akizungumza na Dodoma fm Afisa kilimo mkoa wa Dodoma…
21 April 2021, 7:52 am
Wakulima washauriwa kutumia njia bora za kuhifadhi mazao
Na ;Thadei Tesha. Wakulima wameshauriwa kutumia njia bora za uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha mazao yao yanadumu kwa muda mrefu bila ya kuharibika. Akizungumza na taswira ya habari afisa kilimo wa jiji la Dodoma Bi.Gloria Woisso amebainisha njia bora za…
16 April 2021, 10:49 am
Serikali kuhamasisha wawekezaji ujenzi wa viwanda vya mbolea nchini
Na;Mindi Joseph . Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania (TFRA) Dtk.Stephane Ngailo amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji , kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini . Dkt.Ngailo…
14 April 2021, 1:09 pm
Serikali kukamilisha miradi ya kilimo iliyo anzisha
Na; Selemani Kodima Wizara ya kilimo imesema itaendelea kujikita zaidi kwenye kipaumbele cha kufanya tathimini na kukamilisha miradi ya umwagiliaji iliyopo ikiwemo kuangalia ufanisi wake na kukamilishi miradi ya maji ambayo wameshaianza. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu waziri wa…
10 December 2020, 2:33 pm
Uhaba wa mbegu za mihogo wawakatisha tamaa wakulima
Na,Mindi Joseph, Dodoma. Imeelezwa kuwa gharama kubwa za upatikanaji wa mbegu za zao la mihogo Mkoani Dodoma imechangia baadhi ya wakulima kukata tamaa kulima zao hilo.Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wakulima kutoka Hombolo Bwawani Mkoani Dodoma wamebainisha kuwa…
3 December 2020, 2:56 pm
ANSAF:Asilimia 10 pekee ya vijana yajihusisha na kilimo nchini kati ya 65
Na,Mariam Matundu, Dodoma. Sekta ya kilimo ,viwanda na miundombinu zimetajwa kuwa na ufanisi wa kutosha katika kuondoa umasikini na njaa ukilinganisha na sekta zingine za kiuchumi hapa nchini.Kauli hiyo imetolewa na waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda wakati akihutubia katika mkutano…