habari
30 April 2024, 7:29 pm
Vyombo vya habari vyatakiwa kushiriki kutatua changamoto za uchaguzi
Kongamano hilo limefanyika chini ya kaulimbiu isemayo Uandishi wa Habari za Uchaguzi kwa weledi hujenga USAWA, HAKI na UWAJIBIKAJI. Na Pius Jayunga.Waziri mkuu mstaafu na makamu wa rais Jaji Joseph Sinde Warioba amevitaka Vyombo vya Habari nchini kushiriki katika kusaidia…
28 March 2024, 7:07 pm
Rais Samia kuhudhuria kumbukizi ya miaka 40 ya hayati Sokoine
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika vipindi viwili wakati wa uongozi wa awamu ya kwanza. Na Selemani Kodima. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika…
11 January 2024, 7:20 pm
TCDC yazindua kampeni ya upandaji miti kwa vyama vya ushirika
Tume hiyo inasimamia vyama vya ushirika nchini na vilivyopo hadi sasa ni 7400 na zoezi hilo litafanyika nchi nzima. Na Fred Cheti. Kampeni ya upandaji miti kwa vyama vya ushirika imezinduliwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) ili kuunga…
1 June 2022, 3:04 pm
Waziri mkuu aagiza mji wa kiserikali ujengwe kwa kuzingatia upandaji miti
Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameigiza Wizara ya ofisi ya waziri mkuu ,na katibu wa ofisi ya waziri mkuu ,bunge na uratibu kwa kushirikiana na timu ya wataalamu wanaosimamia ujenzi wa mji wa kiserikali kuhakikisha wanaujenga mji huo…
31 August 2021, 12:31 pm
Wahandisi 17 wachukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na tar…
Na; Mariam Matundu. Wahandisi 17 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na taratibu za taaluma yao kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick…