Dodoma FM

afya

21 May 2021, 1:27 pm

Changamoto ya zahanati chamwino wanawake kujifungulia njiani

Na; Benard Filbert Ukosefu wa huduma ya Zahanati katika Kijiji cha Chitabuli Wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wananchi hivyo kusababisha   wajawazito kujifungulia njiani. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari kuhusu…

21 May 2021, 12:43 pm

Serikali yaahidi kusimamia sheria ya mtoto

Na; Yussuph Hans Katika kuhakikisha inawakomboa wanawake wanaobebeshwa mimba na kutelekezwa, Serikali imeahidi kusimamia ipasavyo sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inayotoa maelekezo juu ya matunzo ya mtoto kwa wazazi wote wawili. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu…

18 May 2021, 1:20 pm

Rais Samia: sheria ya PF3 iangaliwe upya

Na; Benard Filbert Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluh Hassan ameliagiza jeshi la Polisi nchini kuangalia upya sheria inayomtaka mgonjwa aliyepata ajali kutokutibiwa bila kuwa na fomu namba tatu ya Polisi(PF3) kwani imekuwa ikisababisha watu wengi kupoteza…

18 May 2021, 12:49 pm

Watanzania wametakiwa kuwa na imani na chanjo ya Corona

Na; Yussuph Hans Wananchi wametakiwa kuwa na imani na chanjo ya covid 19 Akizungmza na Dodoma fm mtaalamu wa uchunguzi tiba kitengo cha maabara kutoka hospitali ya KCMC Dkt.Ahmed Zubeir amesema kuwa katika matumizi ya tiba wakati mwingine huwa na…

7 May 2021, 12:05 pm

Sambwa ,Kondoa walia na changamoto ya kukosa Zahanati

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji Cha Sambwa Kata ya KK Wilayani Kondoa wamelalamikia ukosefu wa huduma za afya katika Kijiji hicho hali inayowalazimu kutembea umbali mrefu kwa ajili ya matibabu. Bw.Ally Khamis ni mkazi wa Kijiji hicho amesema wamekuwa…