Radio Tadio

Elimu

September 7, 2024, 6:40 pm

Bilionea Mulokozi ajitokeza daftari la kudumu la wapiga kura

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati super brands limited  David Mulokozi amejitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapiga kura. Na mwandishi wetu Mzidalfa Zaid Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super…

2 August 2024, 2:20 am

Wadau wa kilimo wahimizwa kufanya tafiti zenye tija Geita

Dhana potofu kwa wakulima juu ya mbolea za viwandani imeendelea kukosesha wakulima fursa mbalimbali ikiwemo kupata mavuno mengi. Na: Evance Mlyakado – Geita Wadau wa kilimo mkoani Geita wametakiwa kufanya tafiti zenye kuleta tija ili kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto…

3 July 2024, 10:16 am

Wakulima wa nanasi Sungusira walia ugumu wa soko

Halmashauri ya wilaya ya Geita katika vijiji vya Nzera, Sungusira na Igate vinatajwa kwa ulimaji wa nanasi ambapo baadhi ya wananchi hujihusisha na kilimo hicho ili kujipatia kipato. Na: Evance Mlyakado – Geita Changamoto ya ukosefu wa soko la uhakika…

5 February 2024, 13:29

watoto wenye uhitaji maalum waomba kutatuliwa changamoto zao

Watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhitaji wa taulo za kike hasa kwa wasichana hali ambayo wakati mwingine hupelekea kukosa masomo darasani. James Jovin ana maelezo zaidi.

3 February 2024, 7:23 pm

UWT Ludete yawapa tabasamu wanafunzi walioripoti bila sare

Jamii yashauriwa kuendelea kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mrisho Sadick: Wananchi kwa kushirikiana na Jumuiya ya umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Ludete wilayani Geita wamejitokeza kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu…

3 February 2024, 16:47

Hatimaye shule yanukia Serengeti Kyela

Baada ya kukosekana kwa shule za msingi na sekondari hatimaye wakaazi wa kata ya Serengeti hapa wilayani Kyela wanatarajia kuanza ujenzi wa shule baada ya kupatikana eneo. Na Masoud Maulid Kutokana na kilio cha muda mrefu kwa wananchi wa kata…

1 February 2024, 4:28 pm

Shule zawa chanzo cha mapato halmashauri ya Rungwe

Serikali yandelea kutafuta vyanzo mbalimbali vya mapato ili kuweza kupeleka huduma kwa wananchi. Na mwanahabari wetu Hii ni shule ya Msingi Nuru iliyopo Kata ya Bagamoyo Tukuyu Mjini yenye mchepuo wa kingereza ambayo inatajwa kupanua maarifa na ujuzi kwa wanafunzi…