Uhuru
8 November 2024, 09:40 am
Diwani Madimba aitaka halmashauri kuiangalia jicho la tatu shule ya msingi Litem…
Miundombinu ya shule ya Msingi Litembe hali yake Mbaya hivyo halmashauri isipochukua hatua kuelekea msimu wa mvua kunauwezekano wa kufungwa kutokana na majengo yake kuchakaa. Na Musa Mtepa Diwani wa kata ya Madimba, Idrisa Ali Kujebweja, ameitaka Halmashauri ya Mtwara…
7 November 2024, 14:55
TAKUKURU Mbeya yabaini deni la bilioni 4 kwenye mfuko wa NSSF
TAKUKURU Mbeya yashirikisha wananchi kuzuia vitendo vya rushwa kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 97. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya ya kuzuia na kupamba na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya uchambuzi wa mifumo katika sekta ya…
4 November 2024, 19:22
Wasioona waoana, wapata mtoto anayeona Mbeya
Unawaza ukadhani ni simulizi lakini hii habari ya kwel kwa wanandoa wenye ulemavu wa kutoona kuamua kuishi pamoja. Na Ezekiel Kamanga Upendo Tebela(37)na mumewe Mwakifumbwa(52) wakazi wa Mbalizi wote ni vipofu waliamua kuoana mwaka 2021 na wamejaliwa kupata mtoto wa…
25 October 2024, 8:48 pm
TRA Manyara yavuka lengo la ukusanyaji kodi
Mamlaka ya mapato TanzaniaTRA mkoa wa Manyara Kwa mwaka 2023,2024 wamefanikiwa kuvuka lengo kwa kukusanya kodi kwa asilimia miamoja na kumi na moja na hii imetokana na baada ya kuwafikia watu kwa kutoa elimu . Na Mzidalfa Zaid Mamlaka ya…
20 October 2024, 19:54
Vijana watakiwa kuwa wazalendo kwa taifa lao
Taifa lolote linategemea nguvu ya vijana hivyo kwa kutambua hilo mamlaka zimekuwa na wajihubwa kuwajenga vijana kuwa wazalendo. Na Kelvin Lameck Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania Mh. Lazaro Nyarandu amewataka vijana kuwa wazalendo kwa kufanya mambo…
15 October 2024, 06:48
Kurasa za magazeti leo 15 Oktoba, 2024
12 October 2024, 4:39 pm
VTC Sengerema yaendelea kuzalisha vijana wenye ujuzi nchini
Serkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekeza fedha nyingi kujenga vyuo vya ufundi nchini ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira kwa vijana, waweze kujiajiri kupitia ufundi. Na;Deborah Maisa Wahitimu wa chuo cha ufundi Sengerema vtc wametakiwa kusoma…
12 October 2024, 05:26
Kurasa za magazeti leo 12 Oktoba 2024
8 October 2024, 07:40
Kijana anusurika kifo tuhuma za kuiba pikipiki Mbeya
Ili kuondokana na uhalifu kwenye jamii, wananchi wamekuwa wakishauriwa kuwa na bidii ya kufanya kazi. Na Ezekiel Kamanga Kijana mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi amenusurika kifo baada ya kupigwa baada ya kutuhumiwa kuiba pikipiki ya Chama Cha Mapinduzi inayotumiwa…
29 September 2024, 17:03
Wazee waziomba halmashauri kuwapatia ofisi kuendesha shughuli zao
Uwepo wa dawati la baraza la wazee kwa ngazi ya taifa, mkoa, wilaya na kata wazee wameomba serikali kuwapatia ofisi. Na Ezra Mwilwa Katika kuelekea kilele cha kuadhimisha siku ya wazee duniani tarehe 01 Oktoba, wazee mkoani Mbeya wamekutana kuadhimisha…