Radio Tadio

Uhuru

23 Disemba 2024, 18:09

TAKUKURU Mbeya yafanya tathmini, mikakati ya chaguzi

Katika kupambana na vitendo vya Rushwa jamii imepaswa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa pindi wanapoona vitendo hivyo. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya kongamano na wadau la thathimini ya uchaguzi…

15/12/2024, 11:24

Namtumbuka atahadharisha matumizi mihuri kinyume na utaratibu

Ni kikao kazi kilichoitishwa na Diwani wa kata ya Namtumbuka Al-haji Salumu Lipwelele kwa viongozi wa vijiji waliochaguliwa hivi karibuni chenye lengo la kufahamiana na wakuu wa idara waliopo katika kata ya Namtumbuka ili kurahisisha katika utekelezaji wa majuku yao.…

12/12/2024, 10:27

Mnyachi mguu sawa kuwatumikia wananchi

Wanawake wapatao 78 katika kata ya Mkunwa wamefanikiwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi huku Lukia Mnyachi akiwa Mwenyekiti wa Kijiji wa Kwanza na wa pekee katika historia ya kata ya Mkunwa. Na Musa Mtepa Mwenyekiti pekee wa Kijiji wa kike…

25/11/2024, 07:48

Shamsia aongoza kampeni za CUF Mnaida, Mtwara

Hizi ni kampeni za vyama vya siasa ikiwa katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika November 27,2024 kote nchini ambapo hivi sasa vyama vina nadi sera zao kwa wananchi ili waweze kuchaguliwa. Na Musa Mtepa Mbunge wa…