Radio Tadio

Uhuru

June 5, 2024, 5:07 pm

Wawekezaji toeni fursa za ajira kwa vijana wazawa

 wawekezaji endeleeni  kuwapa kipaumbele wazawa wa maeneo husika kwa kuwapatia kazi ambazo wanaziweza kuzifanya ili nao wapate kipato kupitia uwekaziji huo. Na sebastian Mnakaya Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita amewataka wawekezaji katika sekta ya madini kutoa…

8 August 2023, 7:37 pm

Geita yakabidhi Mwenge wa Uhuru Kagera

Mbio za Mwenge wa Uhuru zimefikia tamati Mkoani Geita baada ya kukimbizwa kwa siku sita katika Halmashauri sita za Mkoa huo kuanzia agosti 2 hadi 8 mwaka huu. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amemkabidhi Mwenge…

15 April 2021, 11:42 am

Tope lakwamisha shughuli za uvuvi Hombolo

Na; Victor chigwada   Wakazi wa Hombolo wanao jihusisha na shughuli ya uvuvi wamelalamikia bwawa hilo kujaa tope  na kupungua kina hali inayo sababisha vifo kwa wavuvi wanao kwama kwenye tope hilo. Wakizungumza na taswira ya habari wavuvi hao kutoka…