Uhuru
28 July 2025, 09:55
Tusiwafiche watoto wenye ulemavu-DC Kasulu
Wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu wameshauriwa kutowafisha watoto wenye mahitaji maalumu kwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki zao msingi. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu, ametoa wito kwa wazazi na walezi wilayani humo…
18 July 2025, 11:08 am
“Zingatieni sheria na kanuni za uchaguzi”Sesilia Sepanjo
Wasimamizi wa uchaguzi Lindi na Mtwara wamehimizwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Mafunzo ya siku tatu yamehitimishwa Mtwara, yakilenga kuwajengea uwezo. Washiriki wameahidi kuwa mabalozi wa elimu hiyo kwa wenzao Na Musa Mtepa Wasimamizi na waratibu…
13 July 2025, 15:42 pm
Zitto aahidi Mtwara kuwa kitovu cha uchumi wa SADC
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amewahamasisha wananchi wa Mtwara kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba 2025, akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi wa chama hicho ili kuleta maendeleo. Na Musa Mtepa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewaasa wananchi wa Mtwara…
12 July 2025, 13:39 pm
Aliyekuwa Diwani Ndumbwe ajitosa ubunge Mtwara Vijijini
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ndumbwe, Ndugu Abdull Mahupa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini kupitia CUF. Ametaja afya, miradi ya maendeleo na uboreshaji wa huduma kwa wananchi kuwa vipaumbele vyake Na Musa Mtepa…
25 June 2025, 8:24 am
Marufuku pombe kwa wajawazito
Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na afya ya akili Edward Buchee. Picha na Anna Mhina “Mama mjamzito kama anatumia vilevi anaweza kujifungua mtoto wa aina hiyo” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba…
19 June 2025, 8:34 am
Jamii acheni kunyanyapaa watoto wenye ulemavu
Picha ya viongozi wa serikali katikati ni mkuu wa wilaya ya Mpanda. Picha na Anna Mhina “Kumfungia mtoto ndani ni kumnyima haki zake za msingi” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba…
5 June 2025, 9:15 am
DC Maswa atahadharisha Madiwani figisu za Ununuzi wa Pamba
Diwani ni haki yake kufanya biashara ya Ununuzi wa Pamba kwasababu pamba siyo shughuli ya Halmashauri kwahiyo hakuna mgogoro wa kimasirahi kwa diwani kununua Pamba, Lakini sitavumilia Diwani atakayefanya hujuma katika ununuzi wa Pamba mimi Nitakuning’iniza tu “Mhe Dkt Vicent…
3 June 2025, 06:44
Fahamu kilichoandikwa kwenye magazeti 3/6/2025
Siku ya leo June 3,2025 kurasa za magazeti zimechepisha habari mbalimbli kama ifuatavyo Na Ezra Mwilwa
26 May 2025, 15:31
Wanahabari wapigwa msasa matumizi ya mtandao wa radio jamii
Kutokana na uwepo wa uzalishaji maudhui mbalimbali katika mitandao ya kijamii waandishi wa habari wametakiwa kutumia taaluma Zao kuelimisha jamii Na Ezra Mwilwa Mafunzo hayo yaliyo andaliwa na mtandao wa Radio Jamii (TADIO) yamefanyika katika ukumbi wa hotel ya Mdope…
22 May 2025, 16:57
BoT yatoa elimu ya usalama katika fedha kwa watu wenye uoni hafifu
Watu wenye mahiataji maalum wakiwemo wenye uoni hafifu wilayani Chamwino mkoani Dodoma wametakiwa kufuatilia na kutambua alama za usalama katika fedha pamoja na utunzaji unaofaa wa fedha. Na Glory Paschal Benki Kuu ya Tanzania BoT imetoa elimu ya fedha kwa…