Radio Tadio

Sera na Sheria

16 February 2023, 5:07 pm

Ukaguzi Vyombo vya Moto kwa Hiyari

Kufuatia wiki ya nenda kwa usalama ambayo imeanza kuadhimishwa kitaifa kuanzia Februari 6, 2023 ambapo Mkoani Iringa itazinduliwa mnamo Februari 18, 2023. Na Ansigary Kimendo. Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani Mkoani Iringa limejipanga kufanya ukaguzi wa vyombo vya…

3 February 2023, 3:16 pm

Maagizo matano kwa wakuu wa wilaya Tabora

Mkuu wa mkoa wa TABORA Balozi Daktari Batilda Buriani ametoa maagizo matano kwa Wakuu wa wilaya wa mkoa huo likiwemo la kwenda kusimamia masuala ya ulinzi na usalama katika maeneo yao. Maagizo hayo ameyatoa kwenye hafla ya uapisho wa wakuu…

6 September 2022, 10:01 am

Madereva wapata elimu zoezi la ukaguzi magari ya Shule

Polisi Mkoa wa Arusha imefanya ukaguzi wa magari ya shule zaidi ya 150 na kutoa elimu kwa wamiliki wa shule na madereva wa magari hayo, toka maeneo mbalimbali jijini humo. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha, Mrakibu…

5 September 2022, 5:06 am

IGP Wambura aonya tabia ya kujichukulia sheria mkononi

Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amewaonya wanachi wa wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, kuwacha tabia ya kujilichukulia sheria mkononi kwa kuwaadhibu wahalifu ikiwemo ama kuwaua, na badala yake wawapeleke kwenya vyombo vya sheria. IGP Wambura, ametoa…

21 April 2022, 10:43 am

Maadhimisho ya muungano kufanyika Dodoma April 26

Na; Selemani Kodima. Serikali imesema kuwa maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanzania yanatarajia kufanyika tarehe 26 April 2022 jijini dodoma ambapo Mgeni Rasmi atakuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan. Taarifa  iliyotolewa leo…

27 April 2021, 6:10 am

Tanzania yaadhimisha miaka 57 ya muungano

Na,Mariam Matundu. Ikiwa Tanzania imeadhimisha miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,imeelezwa kuwa changamoto 15 kati ya 25 za muungano zimetatuliwa . Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya miaka…