Radio Tadio

Sera na Sheria

18 Novemba 2025, 6:16 um

Uongozi wa bodaboda Katavi wahamasisha amani na utulivu

Viongozi wa bodaboda Katavi wakiwa kwenye picha ya pamoja na bodaboda. Picha na Samwel Mbugi “Lengo ni kuwapongeza bodaboda wa Katavi kwa kuendelea kuitunza amani” Na Samwel Mbugi Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (Bodaboda) mkoa wa Katavi Isack Daniel…

7 Oktoba 2025, 4:48 mu

GGML yaadhimisha miaka 25 kwa mashindano ya gofu Geita

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa mashindano ya gofu katika viwanja vya Lake Victoria Golf Club vilivyopo ndani ya eneo la mgodi mkoani Geita. Na: Ester Mabula Mashindano hayo ni miongoni…

1 Septemba 2025, 7:49 um

Wanakatavi epukeni vitendo vya uvunjifu wa amani

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko. Picha na Restuta Nyondo “Niwasihi wanakatavi jitokezeni kushiriki mikutano ya kampeni” Na Restuta Nyondo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko  amewataka wananchi kuepukana na vitendo vya uvunjifu wa sheria na…

25 Agosti 2025, 6:48 um

Watembea kwa miguu wanahitaji elimu

Jofrey Chaka mkaguzi wa polisi. Picha na Anna Mhina “Mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande wake wa kulia” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kutoa elimu ya usalama barabarani kwa watembea kwa…

25 Agosti 2025, 16:37

Wamiliki shule waaswa kuendana na mabadiliko ya mtaala mpya

Mmiliki wa shule za Hekima zilizopo Mjini Kasulu Mkoani Kigoma Fedia Yaredi amesema ataendelea kusimamia shule hizo ili zieweze kutoa elimu bora kwa watoto Na Hagai Ruyagila Wamiliki wa shule binafsi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kukubaliana na mabadiliko ya…

22 Agosti 2025, 3:27 um

GGML yaridhia kuwalipa fidia wakazi Nyakabale na Nyamalembo

Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande zote kukubaliana kuanza mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo yanayotumiwa na mgodi huo Na: Ester Mabula Serikali kupitia wizara ya madini imetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka…

4 Agosti 2025, 3:24 um

SP Sukunala “dereva bajaji lazima uwe na leseni”

Mkuu wa usalama barabarani SP. Sukunala Katavi akitoa maelekezo kwa madereva bajaji. Picha na Samwel Mbugi “Lazima tukemee ajali na tujitahidi kuwa naleseni za udereva” Na Leah Kamala Mkuu wa usalama barabarani manispaa ya mpanda mkoani katavi, SP. Efeso Sukunala…