Radio Tadio

Miundombinu

16 Febuari 2023, 4:51 mu

Wananchi Kapanga Wamlilia Mrindoko

TANGANYIKA Wananchi wa kijiji cha Kapanga Tarafa ya Mwese wilayani Tanganyika wamemuomba mkuu wa mkoa wa katavi kuwasaidia changamoto zinazowakabili katika kijiji hicho. Wakizungumza mbele ya mkuu wa mkoa alipokuwa anakagua miradi iliyojengwa kupitia Fedha za Hewa ya ukaa kijijini…

9 Febuari 2023, 10:30 mu

Zaidi ya wananchi 7000 watarajia kunufaika

Zaidi ya wananchi 7000 wa kijiji cha Ibihwa na Mpamantwa Wilayani Chemba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama pindi ujenzi wa mradi wa kisima kikubwa cha maji unaotekelezwa katika vijiji hivyo utakapokamilika. Na Fred Cheti. Hayo yameelezwa…

6 Febuari 2023, 2:06 um

Mkandarasi ahimizwa kuharakisha ujenzi wa bwawa Membe

Mradi huo wa Bwawa la umwagiliaji unagharimu shilingi Bilioni 12 na litakapokamilika litachukua eneo lenye ukubwa wa ekari 388 na linatarajiwa kumwagilia mashamba yenye eneo la ukubwa wa ekari 8,000. Na Fred Cheti. Ujenzi wa Mradi wa bwawa kubwa la…

2 Febuari 2023, 10:46 mu

TARURA kutatua changamoto ya barabara Chamwino

Wakala wa barabara vijiji na mijini Tarura inatarajia kutatua changamoto ya barabara wilayani Chamwino kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024. Na Seleman Kodima. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Chamwino imesema inatarajia kutatau changamoto ya Miundombinu ya Barabara  katika…

14 Januari 2023, 4:54 um

TARURA KUJENGA BARABARA ZA LAMI MJINI MASWA

Na mwandishi wetu,Samuel Mwanga. Wakala wa Barabara wa Mjini na Vijijini (TARURA)katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kujenga barabara za kiwango cha lami katika mitaa mitatu  mjini  Maswa katika mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa…

12 Oktoba 2022, 11:04 mu

Miganga walalamikia ubovu wa Barabara

Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga wilayani Chamwino wamelalamikia Ubovu wa miundombinu ya Barabara kuwa kero inayosababisha baadhi ya huduma za msingi kupatikana kwa tabu. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na Taswira ya habari…