Radio Tadio

Miundombinu

26/02/2026, 13:51

Maafisa usafirishaji Geita waendelea kunufaika kupitia BCRO

“Ndani ya miaka yangu mitano nitaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali na watu wote wa kata ya Kalangalala ikiwemo na nyie maafisa usafirishaji ili muweze kujikwamua kiuchumi” – Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Asasi ya BCRO (Bajaj In Community Reform…

25 Febuari 2026, 11:05 mu

Waliohusika kumuua Irene kukiona

“Nilimtuma mdogo wake hakumkuta,tukaenda wote kumtafuta hadi usiku wa saa sita hatukufanikiwa kumuona basi tukafunga mlango tukalala“ Na Anna Milanzi -Katavi Kufuatia mauaji ya  Irene Yosia binti mwenye  umri wa miaka 16 mkazi wa mtaa wa Tulieni manispaa ya Mpanda…

16/02/2026, 23:27

Hivi ndivyo uchumi wa wana-Pangani utakavyokuwa

“Ujenzi wa barabara hii na daraja la Mto Pangani imeweka alama isiyofutika katika wilaya ya Pangani” Na Cosmas Clement Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dokta Mwigulu Nchemba ameiagiza wizara ya ujenzi kuhakikisha vipande vya barabara vinavyoendelea…

30/01/2026, 13:46

Wananchi Dodoma wahimizwa kuwekeza kibiashara

Picha ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri wakati akizungumza katika kikao cha Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma. Picha na Dodoma City Tv. Katika kikao hicho, Shekimweri amelipongeza baraza hilo  kwa kazi…

19/01/2026, 18:39

Mwanamke mwenye ulemavu aliyetelekezwa apatiwa msaada

Kundi la watu wenye ulemavu linaendelea kukumbana na changamoto mbalimbali, hususan wanawake wanaotelekezwa. Na Mrisho Sadick: Mwanamke mwenye ulemavu Sarah Malale mkazi wa Kata ya Lulembela Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amewaomba Watanzania wenye mapenzi mema kujitokeza kumsaidia baada ya…

08/01/2026, 11:36

Nyang’hwale yasisitiza matumizi ya teknolojia kukuza biashara

Ucheleweshaji wa marejesho una punguza juhudi za serikali kuendelea kutoa fedha za mikopo kwa vikundi vingine. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kutumia teknolojia ya mawasiliano ikiwemo mitandao ya…