Radio Tadio

Miundombinu

19 Januari 2026, 6:39 um

Mwanamke mwenye ulemavu aliyetelekezwa apatiwa msaada

Kundi la watu wenye ulemavu linaendelea kukumbana na changamoto mbalimbali, hususan wanawake wanaotelekezwa. Na Mrisho Sadick: Mwanamke mwenye ulemavu Sarah Malale mkazi wa Kata ya Lulembela Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amewaomba Watanzania wenye mapenzi mema kujitokeza kumsaidia baada ya…

8 Januari 2026, 11:36 mu

Nyang’hwale yasisitiza matumizi ya teknolojia kukuza biashara

Ucheleweshaji wa marejesho una punguza juhudi za serikali kuendelea kutoa fedha za mikopo kwa vikundi vingine. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kutumia teknolojia ya mawasiliano ikiwemo mitandao ya…

16 Disemba 2025, 8:15 um

Wafanyabiashara  Manyara washauriwa kuwa na mpango mkakati

Wafanyabiashara mkoani  Manyara wametakiwa kuzingatia vigezo, sheria na matakwa yote ya kibiashara  ili kuepuka kupata adhabu mbalimbali ambazo wanawaweza kuzipata na kupelekea kushuka kibiashara. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Meneja wa Chemba ya Taifa ya biashara (TNCC)…

18 Novemba 2025, 12:21 um

Maafisa maendeleo Geita wapewa maagizo mazito

Fursa ya ufugaji wa Samaki kwa kutumia vizimba iliyokuwa haitazamwi sana kwasasa imekuwa kimbilio Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imewataka maafisa maendeleo kuhakikisha wanakuwa daraja muhimu la kuwakwamua Wananchi kiuchumi kwa kuibua fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye maeneo yao ikiwemo…