Radio Tadio

Maji

3 July 2023, 12:29 pm

TANESCO wakata umeme chanzo cha maji Sengerema

Kutokana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sengerema SEUWASA kukabiliwa na malimbikizo ya deni la umeme kiasi cha shilingi milioni mia tatu, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekata huduma ya umeme katika chanzo cha maji kilichopo Nyamazugo.…

28 June 2023, 5:41 pm

Milioni 560 kutatua kero ya maji Bahi

Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…

9 June 2023, 12:44 pm

Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…

7 June 2023, 5:06 pm

Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati

Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…

7 June 2023, 10:28 am

Dirifu walia ukosefu huduma ya maji

MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamezitaka mamlaka za maji kupitia serikali ya mkoa kutatua changamoto ya maji ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa kipindi kirefu. Hayo yamewasilishwa na afisa mtendaji wa kijiji hicho…

7 June 2023, 10:19 am

Katavi: Agizo la RC upatikanaji maji soko la matunda lapuuzwa

MPANDA Ikiwa saa 24 zimepita baada ya agizo la kupatikana maji Soko la Matunda lililopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wafanyabiashara wameomba uongozi wa mkoa kufuatilia kwa kina upatikanaji wa maji sokoni hapo. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio…

2 June 2023, 1:21 pm

Wakazi kata Ntyuka kuondokana na adha ya maji

Na Selemani Kodima. Wakazi  4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere   kata ya Ntyuka  jijini Dodoma wanatarajiwa  kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa  maji safi na salama  baada ya uzinduzi wa mradi wa maji  wa Ntyuka Chimalaa kukamilika  .…