Maji
8 June 2023, 11:09 am
Kabati awasilisha bungeni changamoto ukosefu maji Ng’ang’ange
Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ameibana serikali kujua wana mpango gani wa kupeleka huduma ya maji katika kata ya Ng’ang’ange iliyopo wilaya ya Kilolo. Kabati ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha…
7 June 2023, 5:06 pm
Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati
Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…
7 June 2023, 10:28 am
Dirifu walia ukosefu huduma ya maji
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamezitaka mamlaka za maji kupitia serikali ya mkoa kutatua changamoto ya maji ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa kipindi kirefu. Hayo yamewasilishwa na afisa mtendaji wa kijiji hicho…
7 June 2023, 10:19 am
Katavi: Agizo la RC upatikanaji maji soko la matunda lapuuzwa
MPANDA Ikiwa saa 24 zimepita baada ya agizo la kupatikana maji Soko la Matunda lililopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wafanyabiashara wameomba uongozi wa mkoa kufuatilia kwa kina upatikanaji wa maji sokoni hapo. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio…
2 June 2023, 1:21 pm
Wakazi kata Ntyuka kuondokana na adha ya maji
Na Selemani Kodima. Wakazi 4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere kata ya Ntyuka jijini Dodoma wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa maji safi na salama baada ya uzinduzi wa mradi wa maji wa Ntyuka Chimalaa kukamilika .…
1 June 2023, 5:38 pm
Mradi uchimbaji visima vya maji kunufaisha wakazi Nzuguni
Mradi huo wenye mikataba minne una thamani ya sh. Bilioni 4.8. Na Mindi Joseph. Wakazi 37,929 katika kata ya Nzuguni mkoani Dodoma wanatarajia kunufaika na utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji unaotarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu.…
29 May 2023, 8:09 pm
Wananchi Bahi Makulu kupelekewa huduma ya maji
Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji safi katika kijiji cha Bahi Makulu ili kuwaondolea adha wananchi kutokana na kutokuwepo kwa huduma hiyo kijijini hapo. Nollo ameyasema hayo Mei 28, 2023…
29 May 2023, 7:39 pm
Kongwa: Wananchi waridhia kuhama kupisha chanzo cha maji
Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wa kitongoji cha Kawawa kilichopo katika mamlaka ya mji mdogo Kibaigwa wilayani Kongwa wameridhia kuhama ili kupisha eneo la chanzo cha maji lililopo kitongojini hapo lenye ukubwa wa hekari 28. Hayo yamejiri mapema katika ziara yake…
19 May 2023, 3:45 pm
Mgogoro wa maji Subugo kutafutiwa ufumbuzi
Viongozi wa Kijiji wametakiwa kuwa wabunifu kutambua fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo yao kama kilimo chenye tija ili waweze kuwakwamua wananchi kiuchumi na kupata maendeleo. Na Bernadetha Mwakilabi. Mgogoro wa maji uliopo kitongoji cha Subugo kati ya Serikali ya…
10 May 2023, 6:17 pm
DUWASA watangaza utiaji saini wa mkataba wa Mradi wa kuboresha na kutibu maji ta…
Gharama za mradi wa Usanifu na Ujenzi WA UBORESHAJI HUDUMA YA UONDOSHAJI NA KUTIBU MAJITAKA unategemea kugharimu Dola za Marekani milioni (70) sawa na Shilingi za Tanzania bilioni 164.85. Na Selemani Kodima. Katika kukabiliana na ufanisi mdogo wa miundombinu ya…