Radio Tadio

Maji

18 Machi 2026, 4:43 um

TANROADS Simiyu waanza ujenzi wa barabara ya heavy weight

“Tunahitaji kuwa na miundombinu imara ya barabara ili kulinda usalama wa vyombo vya usafiri pamoja na watumiaji wake maana siku hizi kelele zimekuwa nyingi sana kutoka kwa watumiaji wa barabara juu ya ubovu wake na namna ambavyo unachangia kuhari vyombo…

17 Machi 2026, 1:22 um

RC Macha amaliza mgogoro wa fidia kwa wananchi

“Ni kweli hakuna mtu asiyependa maendeleo ya nchi yake kila wananchi anatamani kuona miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wingi bila changamoto zozote zile za kimaslahi kwa wale wanaopaswa kulipwa fidia zao kutokana na kupisha miradi hiyo katika maeneo hayo”. Na,Daniel…

17 Machi 2026, 6:19 mu

RC Macha ataka elimu ya matumizi ya barabara

“Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anamringi Macha ameagiza watu wote wanoharibu miundombinu ya barabara kwa namna mbalimbali ikiwemo kupitisha mifugo kwenye barabara za lami mkoani humo wapatiwe elimu juu ya matumizi ya barabara na baada ya kuelemishwa wale wote watakaoendelea kufanya shughuli zinazoharibu miundombinu…

13 Machi 2026, 14:45

Madereva wakumbushwa kukagua magari kuepusha ajali

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini wito umetolewa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madereva kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa vyombo vyao vya moto ili kuepusha ajali. Na Oliva Joel Hai -Kilimanjaro Katika kipindi hiki…

11 Machi 2026, 2:21 um

DC Anney atangaza msako kwa wadaiwa sugu wa mikopo ya 10%

“Hatuwezi kupoteza fedha za walipa kodi kwa watu wasiokuwa waaminifu wanaokuja kwa kuomba mikopo kwenye halmashauri zetu wanapewa ikifika wakati wa marejesho wanaingia mitini lazima tuwe na sheria kali katika kulinda kodi za wananchi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.”…

6 Machi 2026, 6:00 um

Mwanakulya “Wanawake chachu ya maendeleo”

“Msherehekee na kuanzimisha siku ya wanawake duniani” Na Samwel Mbugi Wanawake manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutambua na kuthamini mchango wa mwanamke katika jamii. Akizungumza mbele ya wanawake katika ukumbi wa manispaa ya…

24 Febuari 2026, 11:38 mu

Kituo cha kupozea umeme suluhisho sahihi kwa wakazi wa Simiyu

“Tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika ili kuvutia wawekezaji wakubwa kwenye viwanda maana hatuwezi kuwa na wawekezaji wakubwa wakati huo hatuna umeme wetu wa uhakika lazima sasa juhudi zifanyike kwa namna yoyote ile”. Na,Daniel Manyanga  Wakazi wa mkoa wa Simiyu…

19 Febuari 2026, 15:44

Ukarabati MV Liemba wafikia asilimia 55 Kigoma

Serikali kupitia Wizara ya uchukuzi imesema haitosita kuchukua hatua za kisheria kwa wasimamizi wanaopewa dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo ambao wanashindwa kuendana na kasi ya serikali katika utekelezaji na ukamilishaji wa miradi kwa wakati Na Tryphone Odace Naibu Waziri…