Radio Tadio

Maji

9 April 2025, 3:41 pm

Mvua yaziacha kaya 16 bila makazi Itilima

“Bado tunakila sababu kwa mamlaka husika kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya kujenga kwenye mikondo ya maji maana kila kiongozi yakitokea maafa kama ya mafuriko tunaanza kuwaambia wananchi madhara ya kujenga bondeni Je? Kipindi wanaanza ujenzi mamlaka…

2 April 2025, 8:04 pm

Fisi wavamia na kuua kondoo wa mahari Bariadi

“Hivi hatuwezi kumaliza kabisa suala la fisi mkoani hapa? Siku chache zilizopita matukio kama haya yaliripotiwa katika wilaya za Itilima na Maswa leo hii wameingia mjini Bariadi je, ni kweli hatuwezi au ndiyo kusema bado hatujaamua kufanya hivyo? Naomba kwenye…

2 April 2025, 9:42 am

CCM Geita yawakalia kooni walioanza kampeni

Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu baadhi ya makada wa CCM wameanza kutafuta nafasi za uongozi kwa nguvu zote huku wakingine wakianza kuvunja utaratibu wa chama. Na Mrisho Sadick: Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimetoa onyo kali kwa wanachama…

28 March 2025, 10:11 am

Maswa: Walioshindwa kurejesha mikopo kufikishwa mahakamani

“Hatuwezi kukaa kimya kwa wale ambao walichukua fedha za halmashauri na kwenda kujikwamua kiuchumi lakini linapokuja swala la kurejesha wanaingia mitini haiwezekani halmashauri ibane matumizi kwa ajili ya mikopo halafu watu wasirudishe ifike sehemu wajuwe hizi ni fedha za walipa…

19 March 2025, 4:55 pm

IPOSA yatajwa kuwakwamua vijana kiuchumi mkoani Simiyu

‘‘Aliyesema kuwa elimu ni ufunguo wa maisha ni kweli hakukosea ndiyo tunawatu wengi sana ambao hawakuweza kupata elimu ndani ya mfumo rasmi lakini haimaanishi kuwa watu hawa wasiweze kupata fursa ya elimu hata ya ufundi stadi ili kuondoa utegemezi kwenye…

18 March 2025, 9:20 pm

Wanafunzi mabalozi wazuri wa usalama barabarani Bariadi

“Elimu ya usalama barabarani bado haikwepeki hivyo mamlaka husika zinao wajibu wa kutoa elimu hasa kwa makundi ambayo yanaweza kuwa msaada mkubwa wa kufikisha elimu kwa jamii kubwa”. Na, Daniel Manyanga  Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinaisha au kupungua mkoani…