Maendeleo
26 August 2021, 1:44 pm
Mradi wa kufua umeme Zuzu watajwa kufikia asilimia 98.
Na;Mindi Joseph . Mradi wa kituo cha kufua umeme Zuzu umetajwa kufikia asilimia 98 huku ukitarajiwa kufunguliwa Rasmi Septemba 30 mwaka huu. Mradi huo utakuwa na uwezo wa kusambaza umeme ndani ya Nchi pamoja na Nchi jirani.Katika Mkoa wa Dodoma…
15 July 2021, 12:05 pm
Wakazi wa kata ya Iyumbu waishukuru serikali kwa kuwatatulia changamoto ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wananchi katika Kata ya Iyumbu Jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa jitahada walizo zichukua katika kutatua changamoto ya umeme ndani ya Kata hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema wanayo furaha kuona muda si…
13 July 2021, 1:20 pm
Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…
12 July 2021, 12:32 pm
Wakazi wa mtaa wa Mkoyo wametakiwa kuzingatia bei halali ya uingizaji wa umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa mtaa wa Mkoyo kata ya Hombolo Jijini Dodoma waeombwa kuzingatia bei halali ya uingizaji wa umeme wa REA ambayo ni elf 27 na sio vinginevyo. Tahadhari hiyo imetolewa na Diwani wa Kata ya Hombolo Bw.…
8 July 2021, 11:32 am
Serikali yatatua changamoto ya umeme kata ya Membe
Na; Benard Filbert. Miezi kadhaa baada ya Dodoma FM kuripoti habari kuhusu changamoto ya kukosekana kwa nishati ya umeme katika kata ya Membe Wilayani Chamwino hatimaye Serikali imeanza kuchomeka nguzo za umeme. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chitaburi wameeleza…
21 May 2021, 10:21 am
Swaswa watakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wa umeme
Na; Benard Filbert Wakazi wa mtaa wa Swaswa Kata ya Ipagala jijini Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wa umeme ambao wamekuwa wakiweka nguzo kwa ajili ya usambazaji umeme wa REA awamu ya tatu. Hayo yemesemwa na mwenyekiti wa mtaa…