Maendeleo
9 December 2022, 6:23 AM
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu- MASASI
Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu, Mkuu wa Wilaya Bi. Claudia Kitta ameungana na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na Wananchi Wilayani hapa pamoja na kufanya usafi wa mazingira kwenye…
9 December 2022, 6:19 AM
Kuelekea maadhimisho Ya Miaka 61 yaUhuru wa Tanzania Bara
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bi Claudia Kita inayoadhimishwa terehe 09 Disemba kila mwaka ameongoza Bonanza la Mpira wa Miguu lililoambatana na Ugawaji wa vifaa vya usalama barabarani kwa Madereva pikipiki (bodaboda), Kofia ngumu (HELMET) na Jaketi maalum za kuvaa…
3 November 2022, 5:35 am
Diwani Mpanda Hotel Aomba Kurejeshwa kwa Utaratibu wa Maegesho Mpanda Hotel.
MPANDA Diwani wa kata ya Mpanda Hotel Hamis Misigalo ameiomba halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kurejesha utaratibu wa Magari ya abiria kusimama dakika tatu katika kituo cha maegesho ya magari Mpanda Hotel. Akizungumza katika Mkutano wa Tatu wa baraza la…
28 October 2022, 8:39 am
Viongozi Manispaa Ya Iringa Watakiwa Kuzingatia Maslahi Ya Watumishi
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi ameutaka uongozi wa Manispaa ya Iringa kuzingatia mahitaji na maslahi ya watumishi ili kuwajengea ari na morali ya utendaji kazi katika kuwahudumia wananchi. Mhe.…
21 October 2022, 11:36 am
Wachimbaji Wadogo wa Madini Waomba Uongozi wa Kijiji Kutatua Mgogoro Kati Yao na…
MPANDA Wachimbaji wadogowadogo wa madini katika kitongoji cha Kagera kijiji cha dirifu kata ya Magamba wameuomba uongozi wa kijiji hicho kutatua mgororo uliopo baina ya kikundi cha Kagera Group na wananchi. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara wa kijiji hicho wamesema…
20 October 2022, 11:54 am
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Yarejesha Fedha za Wananchi Zilizochangwa kwa…
MPANDA Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mpanda imefanikiwa kuzirejesha fedha kiasi cha Shilingi Milion moja laki mbili na arobaini na tano zilizochangwa na wananchi wa mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo ili wapimiwe viwanja. Akizungumza na Mpanda redio…
13 October 2022, 5:27 am
KINANA Ataja Mambo Manne Yaliyokuwa Yakisimamiwa Na Mwalimu NYERERE Ili Kuleta M…
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametaja mambo manne ambayo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiyasimamia enzi ya uhai wake kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Kinana ameyataja mambo…
28 September 2022, 6:53 pm
Fursa kibao za ajira zatangazwa kwaajili ya Wananchi
Wananchi wilayani Karagwe wamehimizwa kujiandaa ili waweze kunufaika kiuchumi kupitia Ujio wa mbio za Mwenge wa Uhuru utakao kesha katika uwanja wa changarawe Kayanga October 08 mwaka huu. Ni wito uliotolewa na mkuu wa wilaya Karagwe Mwalimu Julieth Binyura Sept…
16 September 2022, 4:43 am
Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe
MPANDA Zaidi ya wanafunzi 5000 katika Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi hawana sehemu ya kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…
11 September 2022, 3:42 pm
Sh .Bilioni 1.7 Za Uviko_19 Zakamilisha Mradi Wa Jengo La Madarasa, Maabara Na O…
Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 zaidi ya bilioni 1.7 imewezesha kukamilishwa kwa Mradi wa jengo la madarasa, maabara na ofisi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Akitoa taarifa ya utekelezaji…