Maendeleo
6 May 2023, 1:13 pm
Mradi wa Kituo Cha Mafuta NFS Mafinga wa million 850 wakamilika.
Na Mwandishi wetu MWENGE wa uhuru umeridhishwa na ujenzi wa mradi wa kituo cha Mafuta NFS kilichopo Mafinga mjini mkoani Iringa na kuzindua. Mradi huo wenye thamani ya zaidi ya Milioni 850 unatarajia kutoa ajira za muda mrefu na ajira…
2 May 2023, 7:47 pm
Miradi ya Bilioni 4.9 yakubaliwa na Viongozi wa Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Mufind…
Na Mwandishi wetu. Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeridhia miradi yote katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa miradi yenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 4.9. Akizungumza mara baada ya kukagua miradi hiyo yote Kiongozi wa mbio za…
29 April 2023, 12:14 pm
Baraza la Madiwani Mafinga laazimia kuwakamata wasiorejesha Mikopo ya Halmashaur…
Madiwani wakiwa katika baraza la Madiwani. Picha Frank Leonard. Na Frank Leonard BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Mafinga limeagiza kusakwa na kukamatwa kwa wanachama wa vikundi vilivyoshindwa kurejesha mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa vikundi vya vijana, wanawake…
18 April 2023, 9:20 pm
Mlele Yapongezwa kwa Utekelezaji wa Miradi ya Serikali
MLELE Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mlele Wolfgang Mizengo Pinda amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kwa utekelezaji wa Miradi ya maendeleo iliyotekelezwa kutokana na fedha za Serikali Kuu na usimamizi mzuri wa miradi hiyo. Pinda ametoa pongezi katika ziara…
18 April 2023, 1:29 pm
Mbunge Sitta aibana serikali kuwapatia watumishi kada ya Elimu na Afya Jimbo la…
Serikali imeombwa kuhakikisha inafikisha watumishi wa afya na elimu katika Jimbo la Urambo ili waweze kuwahudumia wananchi. Na Hafidh Ally Jimbo la Urambo Mkoani Tabora linakabiliwa na uhaba wa watumishi wa uma katika kada za afya na elimu jambo linalopelekea…
17 April 2023, 5:00 pm
Mnec Asas apongezwa na Mbunge Kabati kwa kishiriki Miradi ya Maendeleo Iringa
Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Mkoa wa Iringa MNEC Salim Asas amekuwa akishiriki katika shughuli za miradi ya kimaendeleo Mkoani Iringa jambo ambalo linapaswa kuigwa na wadau wengine. Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Ritta…
14 April 2023, 7:20 pm
Mbunge Lupembe aishukuru serikali kwa fedha za madarasa na Vyoo Jimbo la Nsimbo
Fedha hizo zitasaidia kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo katika Jamii. Na Halfan Akida Mbunge wa jimbo la Nsimbo, Mh Anna Lupembe ameishukuru serikali kwa kutoa bilioni 6.2 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Nsimbo, mkoani katavi. Lupembe amesema hayo leo…
14 April 2023, 10:20 am
Wananchi Katavi Watoa Maoni Mseto Ujio wa Grid ya Taifa
MPANDA Wananchi Mkoa wa Katavi wametoa maoni mseto juu ya ujio wa mradi wa umeme wa Grid ya Taifa kutoka Tabora kuja Mkoani Katavi. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm na kuongeza kuwa ujio wa umeme wa Grid…
13 April 2023, 4:44 pm
Maswa: Vikundi 82 kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kurejesha mikopo.
NA,ALEX.F. SAYI Vikundi 82 vya Wanawake,Vijana na Walemavu vimeendelea kufikishwa Mahakamani na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa kushindwa kurejesha zaidi ya Sh.Mil,129.9 walizokopeshwa na Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Akizungumza na Sibuka Fm, Mwenyekiti wa halmashauri ya…
12 April 2023, 2:44 pm
Katavi Yafikia 70% Usambazaji wa Maji Safi na Salama Vijijini
MPANDA Mkoa wa Katavi umefikia zaidi ya asilimia 70 katika usambazaji wa maji safi na salama vijijini, huku lengo kuu ikiwa ni kutatua changamoto hiyo katika vijiji vilivyosalia. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko wakati…