Radio Tadio

Kilimo

3 March 2025, 12:36 pm

Maswa:Halmashauri maswa yazindua mnada mpya

Halmashauri Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeendelea na adhima yake ya kuhakikisha inaongeza ukusanyaji wa mapato kwa kuanzisha vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuharakisha maendeleo Wilayani hapo Na, Alex Sayi-Maswa Simiyu. Halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu imeanzisha gulio na…

26 February 2025, 14:38

TEA yakabidhi mradi wa nyumba nne na madarasa matatu Kasulu

Serikali imeendelea kuboresha elimu nchini kwa kujenga vyumba vya madarasa ili wananfunzi waweze kupata elimu bora. Na Hagai Ruyagila Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA imekabidhi mradi wa nyumba nne kwa shule ya sekondari Nyumbigwa na madarasa matatu katika shule ya…

25 February 2025, 6:17 pm

Maswa mbioni kuzalisha chaki zitakazouzwa nchi nzima

Kiwanda cha kuzalisha chaki kilichopo wilayani Maswa mkoani Simiyu mbioni kuzalisha chaki zitakazokuwa mwarobaini kwa mahitaji ya chaki nchini kwa shule za msingi na sekondari. Na, Alex Sayi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu iko mbioni kuanza uzalishaji wa…

24 February 2025, 3:51 pm

TRA mkoa wa Simiyu yakusanya bilioni 14.2 kwa miezi sita

‘‘Hakuna mtu yeyote atakayetoka nje ya nchi kuja hapa nchini kwetu kutuambia namna bora ya kulifanya taifa letu liweze kusonga mbele katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ili kufikia malengo mama ya taifa kama sisi wenyewe hatutaweza kulipa kodi kwa…

19 February 2025, 10:45

Baraza la madiwani lapitisha bajeti ya bilioni 35.7 Kasulu Mji

Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Kanali Michael Ngayalina ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe amesema bajeti iliyopishwa ikawe chachu ya kuchochea maendeleo kupitia miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu…

19 February 2025, 9:15 am

Wananchi watakiwa kutunza mazingira

Picha ikionesha takataka zilizotupwa ovyo. Picha na Leah Kamala “Wananchi watunze mazingira ili kuepuka magonjwa ya mlipuko” Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameta maoni yao mseto kuhusiana na mandhara ya utupaji holela wa taka katika mazingira.…

10 February 2025, 11:45

M-mama yaja na suluhisho la vifo vya wajawazito, watoto

Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya wameendelea kuweka mikakati ya kupata suluhisho la tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wachanga kwa kuhakikisha huduma za dharula zinapatikana kwenye jamii. Na Emmanuel Kamangu Katika kukabiliana na vifo vya mama…