Radio Tadio

Kilimo

21 Agosti 2024, 13:05

TALGWU yapongeza serikali kupandisha madaraja watumishi

Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa TALGWU mkoa wa kigoma wameomba viongozi wa chama hicho kuendelea kuwasaidia na kuwasemea serikalini ili waweze kupata stahiki na haki zao. Na James Jovini – Kibondo Chama cha wafanyakazi wa serikali…

7 Agosti 2024, 12:04

Wadau watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu ya elimu

Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imewataka wadau wa maendeleo kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha miundombinu ya elimu ili kuhakisha wanafunzi wanapata elimu bora. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu  wameaswa kuendelea kumuunga mkono…

6 Agosti 2024, 10:08

Bilioni 58.7 zaboresha sekta ya elimu Kigoma

Na, Joha Sultan Naibu Waziri Ofisi ya Raisi wizara ya Tamisemi Mhe.Zainabu Katimba amewataka wazazi wote mkoani kigoma kuwapeleka watoto shule na kukomesha utoro. Ameeleza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanywa na chama cha mapinduzi katika viwanja vya community center…

18 Julai 2024, 11:50

Nabii awaonya waumini kutegemea miujiza

Waumini wa dini ya kikristo mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kupata mafanikio ambayo yatawasaidia katika maisha yao kuliko kutegemea miujiza. Hayo yameelezwa na Askofu wa kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika Mhasham Emmanuel Bwatta wakati akizungumza…

18 Julai 2024, 08:17

Mwenyekiti atuhumiwa kuiba na vifaa vya ujenzi

Mkuu wa wilaya Buhogwe Michael Ngayalina amemwagiza afisa utumishi kumtafuta mwenyekiti wa kijiji cha songambele ili aweze kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi wa shule hali iliyosababisha ujenzi kusimama. Na Michael Ngayalina – Buhigwe Wananchi wa kijiji…

17 Julai 2024, 16:12

Wakulima watakiwa kupima afya ya udongo kigoma

Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wakulima ili waweze kutambua namna ya kupima afya ya udongo ili waweze kulima kilimo chenye tija na ushindani kwenye sokola ndani na nje ya nchi. Na Michael Mpunije – Kasulu Wakulima wa mazao mbalimbali…

16 Julai 2024, 11:30

Bilioni 2 zaboresha miundombinu ya elimu

Mbunge wa Jimbo la Kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa serikali imeendelea kutenga pesa kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya shule ili kuchochea kiwango cha ufaulu kwa wananchi kwa kuwa na mazingira bora na rafiki kwa kujifunza. Na…

9 Julai 2024, 14:26

Walimu watakiwa kufundisha kwa bidii ili kuinua ufaulu

Serikali imesema itaendelea kutatua na kushughulikia changamoto za walimu ili waweze kufanya kazi bila vikwazo vinavyowakabili. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waalimu wa Kata ya Murusi Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia nidhamu bora kwa wanafunzi wao ili…

9 Julai 2024, 10:58

Tuzo kwa walimu kuchochea ufaulu kwa wanafunzi Kigoma

Waalimu wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuongeza bidii na maarifa katika ufundishaji ili kuongeza ufaulu kwa wanafunzi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mwl. Vumilia Simbeye katika…