Radio Tadio

Kilimo

24 October 2024, 09:06

Watendaji watakiwa kuwa wabunifu utoaji wa chakula shuleni

Serikali wilayani Buhigwe imesema inaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata chakula. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Mwenyekiti wa kamati ya lishe…

22 October 2024, 09:19

Ufadhili wa masomo ya ufundi wawakosha wanafunzi Kakonko

Serikali wilayani Kakonko imesema itaendelea kuwapa mikopo vijana wanahitimu mafunzo ya ufundi stadi ili waweze kutumia mikopo hiyo kujiajiri kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali na kujiongezea kipato. Na James Jovin – Kakonko Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya ufundi stadi katika…

18 October 2024, 16:56

DED Kasulu ahimiza wananchi kutumia muda uliobaki kujiandikisha

Wakati zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la mkaazi kufungwa hapo oktoba 20 mwaka huu, wananchi wametakiwa kutumia muda huo kujitokeza na kujiandikisha ili waweze kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa…

17 October 2024, 17:19

Waandishi waendesha ofisi walia na ujio wa akili mnemba

Watumishi wa Umma katika kada ya Waandishi waendesha Ofisi mkoani Kigoma wamelalamikia baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kushidwa kuthamini kazi zao huku wakiwa katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Technolojia baada ya kazi…

17 October 2024, 11:25

Kanisa la anglikana laahidi kuunga mkono serikali utoaji huduma

Askofu kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika mkoa wa kigoma amesema kanisa lipo tayari kushiriki na kuunga juhudi za Serikali katika kuboresha miundombinu ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila- Kasulu Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Limesema…

10 October 2024, 14:27

Wananchi waomba serikali kupunguza gharama nishati safi

Serakali imeendelea kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa lengo la kupunguza uharibifu wa mazingira. Na Tryphone Odace – Kigoma Wananchi mkoani Kigoma wameiomba serikali kuangalia namna ya kupunguza gharama za ununuzi wa majiko ya nishati safi ikiwemo gesi…

9 October 2024, 11:40

Wazazi waaswa kulea watoto katika maadili mema

Wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Rev. A. Bungwa iliyopo halmashauri ya mji wa kasulu wametakiwa kuwa na maadili mema kwenye jamii na kufuata misingi waliyofundishwa kwa kipindi chote walichokuwepo shuleni kwa manufaa yao ya…