Radio Tadio

Kilimo

8 September 2023, 12:06 pm

Vijana wahimizwa kujikita katika kilimo cha kitalu nyumba

Juhudi za kuendelea kuwahimiza vijana kujiingiza kwenye kilimo zinaendelea, kwani kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, huku Kijani Consult wakija na njia mbadala kwa vijana wa Geita kutumia kilimo chenye mwanga mdogo wajua ili mazao kustawi vizuri. Na Zubeda…

6 September 2023, 10:15 am

Mrindoko Aahidi Malipo ya Tumbaku

KATAVI Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewahakikishia malipo zaidi ya Dola Milioni 2.5 wakulima wa zao la Tumbaku katika msimu wa kilimo 2022/2023 wa Amcos 6 zilizoingia Mkataba wa ununuzi wa Tumbaku na Kampuni ya Mkwawa Leaf LTD.…

2 September 2023, 2:13 pm

Geita DC na mkakati wa kuongeza uzalishaji mpunga

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi wakulima wilayani Geita wameishauri serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa chakula. Na Mrisho Sadick: Kuboreshwa kwa miundombinu ya kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Geita itasaidia kuongeza uzalishaji wa…

29 August 2023, 4:32 pm

Dodoma wafurahishwa ongezeko la mtama sokoni

Kutokana na Shirika la Afya , mtama umeweza kuwa chakula muhimu katika kupambana  na changamoto ya udumavu pamoja na  unyafunzi kwa watoto. Na Astedi Bambora. Upatikanaji wa zao la mtama kwa wingi katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma kumewanufaisha…

24 August 2023, 1:44 pm

Zaidi ya asilimia 95 ya pamba yanunuliwa Bunda

Zoezi la ununuzi wa pamba linaelekea ukingoni na tayari kilo milioni saba na laki tatu  na elfu hamsini na sita zimenunuliwa kutoka kwa wakulima wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya tani elfu 7 za pamba tayari zimenunuliwa katika vituo…

20 August 2023, 3:02 pm

Utata malipo ya tumbaku Nsimbo

NSIMBO Wakulima wa zao la tumbaku halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wameutaka uongozi wa kampuni ya ununuaji wa tumbaku ya Mkwawa kuharakisha kufanya malipo ya zao hilo. Wakizungumza na kituo hiki kwa nyakati tofauti wakulima hao wametaja kuwa ucheleweshwaji wa…