Radio Tadio

Habari

22 February 2025, 6:59 pm

Ukosefu wa mfumo wa utiririshaji maji kilio kwa wananchi

Wananchi mkoa wa Kigoma walia na serikali juu ya ukosefu wa mfumo wa utiririshaji wa maji wadai kunawapelekea kupatwa na magonjwa ya mlipuko. Na Linda Dismas Wananchi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza changamoto wanazokumbana nazo kutokana na kutokuwa na…

14 February 2025, 9:26 am

Washauriwa kuongeza kasi ulaji vyakula vyenye lishe bora

Serikali imeendelea kusisitiza suala la ulaji wa vyakula vyenye lishe bora kwa wazazi na watoto. Na Theresia Damas Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imefanya tathmini ya kikao kuangazia lishe bora ikiwa na maazimio mbalimbali ikiwemo watoto kula shuleni ili kuwajenga…

11 February 2025, 4:52 pm

Wananchi waaswa kula vyakula vya kunde

Wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula vya jamii ya mikunde kwa lengo la kuboresha Afya. Na Theresia Damas Ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya mikunde Duniani, wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula jamii ya mikunde kwa lengo la…

3 February 2025, 7:41 pm

TCRA kutoa mafunzo udhibiti uhalifu mtandaoni Kilombero

Na Katalina Liombechi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema itaendelea kushirikiana na wadau kushughulikia changamoto za kimawasilino ili kuhakikisha huduma hiyo inakuwa salama kwa watumiaji. Meneja kitengo cha watumia huduma ya mawasiliano TCRA Mhandisi Kadaya Baluhye ameyasema hayo February 2,2025…

28 January 2025, 9:30 pm

Wakimbizi 16 Nyarugusu hufariki kila wiki

Wakazi wengi katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu wana uhaba mkubwa wa vyandarua. Na Emmanuel Kamangu Wakimbizi 9 mpaka 16 katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kasulu  mkoani Kigoma hufariki kila wiki kutokana na ugonjwa wa malaria. Akizungumza na  Uvinza FM, Mkuu…

27 January 2025, 6:23 pm

Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuunguzwa moto

Picha ya mwenyekiti wa mtaa wa Kasimba Benard Nswima. Picha na Anna Mhina “Mtoto wa miaka 7 afariki dunia kwa madai ya kuunguzwa moto” Na Eda Enock Mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la  Hamisi mwenye umri wa miaka 7 amefariki…

25 January 2025, 5:04 pm

Mazingira machafu mighahawani yanavyohatarisha maisha ya watu

Mama n’tilie wakiendelea na shughuli zao za kupika chakula. Picha kutoka maktaba Walaji wa vyakula vya mighahawani walia na changamoto wanazozipata kutokana na vyakula hivyo. Na Kelvin Mambaga Wananchi wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza namna ambavyo mazingira ya…

15 January 2025, 10:11 pm

Jamii yaaswa kula mboga za majani kuepuka magonjwa

Kwa sababu mboga za majani zina madini mbalimbali yanayosaidia katika kuimarisha afya kwa ujumla. Na Emmanuel Kamangu Jamii katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeshauriwa kujenga tabia ya kula mbogamboja za majani kwa ajili ya kuimalisha mfumo wa…