Radio Tadio

Habari za Jumla

9 April 2024, 10:33

DC Mufindi aandaa futari

Na Marko Msafili- Mufindi Wakati waumini wa dini ya Kiislamu kote ulimwenguni wakiendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Mufindi wameshiriki futar iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Dkt. Linda Salekwa. Hafla…

9 April 2024, 10:09

Wahamiaji haramu 16 mbaroni wakisafirishwa kwa STL

Na Jackson Machowa-MufindiJeshi la polisi kwa kushirikiana na idara ya uhamiaji mkoani Iringa linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali kinyume cha sheria.Wahamiaji hao wamekamatwa Jumamosi ya tarehe 6 April 2024 katika eneo…

8 April 2024, 20:02

Wachungaji kemeeni mambo ya ushoga unaoendelea duniani

“Tumieni elimu na maarifa mliyoyapata vyuoni kuuaminisha ulimwengu juu ya imani ya kumtegemea Mungu na siyo fedha.” Na Ezra Mwilwa Wachungaji waliopo masomoni Chuo Kikuu Teofilo Kisanji na Chuo cha Itengule Mbeya wametakiwa kuendelea kukemea maswala ya ushoga yanayoendelea duniani.…

8 April 2024, 18:37

Wananchi watakiwa kuendelea kuitunza amani

Katika kuendelea na mfungo wa Ramadhan kwa dini ya Kiislamu tumeshuhudia makundi mbalimbali nchini yamekuwa yakifanya ibada ya kufuturisha maeneo mbalmbali nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera ameandaa chakula cha jioni katika mkoa wake. Na Dailes Razaro…

8 April 2024, 12:33 pm

Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi afuturisha

Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi.Picha na Mtandao “viongozi wa serikali na wasio waserikali wamekuwa na mchango katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani  katika dhehabu hilo kwa kutoa misaada mbalimbali ikiwemo kufuturisha” Na Deus Daudi-Katavi Mbunge…

8 April 2024, 12:26 PM

Meneja Crdb Masasi akanusha uvumi mkopo wa Mama Samia

mikopo Meneja wa Crdb Masasi Heriethi Rechengura akanusha upotoshwaji wa taarifa za mikopo inayo tolewa na Crdb Kwa akili ya kuwainua wanawake na kuitwa mikopo hiyo niya Mama Samia. Bi Herieth amekanusha uvumi huo Kwa kutoa ufafanuzi kuwa mikopo iliyopo…