Radio Tadio

Habari za Jumla

5 September 2024, 6:04 pm

Mwalimu afungwa jela maisha kubaka mtoto wa miaka 7

Na Khadja Omary Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi imemuhukumu Hassan Saddi, mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Mchinga Mkoani Lindi kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela na kumlipa muhanga fidia ya shilingi Laki Tano (500,000/=) kwa…

5 September 2024, 3:42 pm

Wananchi wakerwa kusuasua ujenzi wa barabara

Kusuasua kwa ujenzi wa barabara yenye urefu wa mita 600 mkabala na kituo kikubwa cha magari ya abiria mjini Geita hadi soko la Mbagala kunatajwa kuongeza changamoto. Na: Kale Chongela – Geita Akizungumza kwa niaba ya madereva wenzake ambao hutumia barabara…

4 September 2024, 7:03 pm

Kelele nyumba za starehe zinakwamisha maendeleo

Halmashauri za nchi zimehimizwa kuandaa muongozo maalumu wa maadili kwaajili ya uendeshaji na usimamizi wa baa na klabu katika maeneo mbalimbali Kelele nyumba za starehe zinakwamisha maendeleo Na Mariaam Kasawa. Halmashauri za nchi zimehimizwa kuandaa muongozo maalumu wa maadili kwaajili…

4 September 2024, 9:32 am

Wananchi Katavi wasisitizwa kuwa wazalendo

katika picha waliokaa upande wa kushoto ni mwenyekiti wa taasisi zisizo za kiserikali katavi ,anayefuatia ni katibu tawala mkoa wa katavi na kulia ni afisa maendeleo mkoa wa katavi.picha na Rachel Ezekia. “lengo kuu la kukuza uzalendo ni kulinda rasilimali…

1 September 2024, 9:11 pm

TAMISEMI yatoa maagizo kwa mkandarasi Geita

Kusuasua kwa mkandarasi anaetekeleza ujenzi wa mradi wa TACTIC wa barabara zenye urefu wa kilometa 17 TAMISEMI yatoa tamko. Na Evance Mlyakado – Geita. Licha ya serikali kutenga bajeti ya zaidi ya bilioni 22 kwaajili ya ujenzi wa barabara zenye…

1 September 2024, 8:45 pm

Akiba atelekeza mke na watoto watatu

Licha ya serikali kuendelea kupambana kukomesha vitendo vya ukatili katika jamii lakini vitendo hivi vinaonekana kuendelea kujitokeza katika maeneo mengi hasa ya vijijini Mkoani Geita Na Evance Mlyakado -Geita. Mwanaume mmoja mkazi wa Nyantorotoro A anadaiwa kutekeleza Familia ya Mama…

1 September 2024, 6:11 pm

Takukuru Simiyu  ilivyorejesha  Furaha  ya  Wananchi  Wilayani  Itilima

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  Takukuru  Mkoa  wa Simiyu imefanikiwa  kurejesha  furaha  ya Wananchi  wa  Wilaya  Itilima  baada  ya   kufuatilia   Mradi  wa  Maji   katika  kijiji  cha  Ng’wang’wita  uliotoa  Huduma  ya  Maji  kwa  Mwezi  mmoja  tu …

26 August 2024, 5:19 pm

NEC yawaomba wananchi Simiyu  kujitokeza kuboresha taarifa zao

Tume huru ya uchaguzi imewataka wananchi mkoani simiyu kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura, ili wawe na sifa za kushiriki uchaguzi ujao. Akizungumza katika  Mkutano  huo   uliowakutanisha wadau mbalimbali mhe. Jaji mustaafu MBAROUK…