Radio Tadio

Habari za Jumla

15 April 2024, 12:33

Wanafunzi wafundwa kilimo cha kahawa kibondo

Katika kukabiliana na changamoto za utegemezi kwa wanafunzi baada ya kuhitimu ngazi mbalimbali za elimu nchini kituo kidogo cha utafiti wa kahawa Tanzania TACRI ofisi za kigoma kimeanza kutoa elimu ya kilimo cha kahawa kwa wanafunzi wa sekondari Wilayani Kibondo…

14 April 2024, 20:34

Mlima Kawetere wameguka, mifugo yapotea, nyumba zabomoka

Wakati mvua zikiendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini na kasababisha madhara kwenye jamii, hali hiyo sasa imeukumba mkoa wa Mbeya baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlima kumeguka na tope lake kuzingira makazi ya watu. Na Josea Sinkala,Mbeya Zaidi ya nyumba…

13 April 2024, 11:16

Moravian Jimbo la Kusini yaendesha semina kwa watumishi wake

Wanasema elimu haina mwisho,unapopata fursa ya kupata elimu huna bidi kuikimbia na badala yake unapswa kuiwa mpokeaji ili kukuongezea ujuzi kwenye jambo unalolifanya au kulisimamia. Na Mwandishi wetu Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini limeendesha Semina ya pili kwa…

12 April 2024, 8:21 pm

RC Katavi: Serikali inatambua umuhimu wa Vvongozi wa dini

 Picha na Mtandao “Amewapongeza viongozi wa Baraza la BAKWATA kwa kuonyesha Ushirikiano katika juhudi zinazofanywa na Serikali  na kuainisha kuwa Serikali inatambua Mchango wa Dini katika kufanya Shughuli za Maendeleo “ Na Samwel Mbugi-Katavi Viongozi wa Baraza kuu la Waislamu…

11 April 2024, 18:00

Machifu Mbeya wachafukwa TARI kulima juu ya makaburi

Baadhi ya wananchi wa kata Ituha jijini Mbeya wamekerwa na kitendo cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole kuvamia maeneo yao waliozika ndugui zao. Na Josea Sinkala Serikali wilayani Mbeya imeanza mchakato wa kumaliza mgogoro wa ardhi…

11 April 2024, 12:36 am

Ulinzi, usalama waendelea kuimarishwa Katavi

“Baraza kuu  la Waislamu    wanaupongeza uongozi wa   Mkuu wa  Mkoa kwa kuhakikisha hali ya utulivu inaimarika“ Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi wa mkoa wa Katavi Wamehakikishiwa usalama wakati wa kufanya shughuli za kijamii na kiuchumi kwa kuwa jeshi la polisi lipo…

10 April 2024, 11:37 pm

Waathirika wa mafuriko Ifakara wapata msaada

Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…