Radio Tadio

Habari za Jumla

22 April 2024, 15:24

Zaidi ya bilioni 46 kukarabati uwanja wa ndege kigoma

Katika kuhakikisha sekta ya usafirishaji nchini inaimarika serikali imeendelea kufanya maboresho na kukarabati viwanja vya ndege ikiwemo kiwanja cha ndege kigoma ili kurahisha urafirishaji. Na Lucas Hoha – Kigoma Zaidi ya shilingi Bilioni 46 zimetolewa na Serikali  kwa ajili ya…

22 April 2024, 12:56

Suluhisho kupata viongozi bora Kigoma lapatikana

Wazazi na Walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kuwalea watoto wao katika maadili mema ambayo yatawasaidia kuwa viongozi bora katika jamii inayowazunguka. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa kanda ya kati wa kanisa la Anglikana Nyumbigwa Dayosisi ya Western Tanganyika Mchungaji…

April 22, 2024, 12:21 pm

Wafugaji wa nyuki washauriwa kutumia wataalam

Kutokana na wafugaji wengi wa nyuki kufuga kienyeji na kutopata faida ofisi ya misitu Halmashauri ya wilaya ya Makete wameshauri wafugaji kutumia ushauri wa wataalamu ili wafuge kwa tija. Na Bensoni Kyando. Wananchi Wilayani Makete Mkoani Njombe wanaojishuhulisha na shughuli…

22 April 2024, 09:30

Saratani ya mlango wa kizazi inatibiwa acheni imani potofu

Ugonjwa wa Saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wa kike imeendelea kuwa tatizo jambo ambalo limeiamsha serikali kuendelea na kampeni ya chanjo kwa watoto wa kike ili kuepukana na ugonjwa huo Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Halmashauri ya Wilaya…

22 April 2024, 09:02

Udamavu kwa watoto kigoma pasua kichwa

Viongozi Mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia huduma za afya na lishe kwa usahihi ili kunusuru watoto kuandamwa na tatizo la udumavu licha kuwa ni mkoa unazalisha vyakula vya kutosha Na Kadislaus Ezekeil – Kigoma Nchi za Tanzania na Marekani zimezindua mradi…

21 April 2024, 2:09 pm

Mbunge Nsimbo akabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko

“Wananchi wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mvua ambazo tayari zimeonyesha kuwa na athari ya mafuriko katika jamii” Na Ben Gadau -Katavi Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe amekabidhi msaada kwa wahanga wa mafuriko katika vijiji vya kaburonge A…