Radio Tadio

Habari za Jumla

03/05/2021, 07:05

90,025 kuanza mitihani kidato cha sita

Na; James Justine KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025 wameanza kufanya mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia leo Jumatatu tarehe 3 hadi 25 Mei 2021.  Dk. Msonde ametoa taarifa hiyo…

30/04/2021, 13:22

RAIS SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM

Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…

29/04/2021, 13:15

Serikali yajipanga kuondoa mgao wa maji Nchini

Na;Yussuph Hans Serikali imesema inaendelea kujipanga kuhakikisha inaondoa adha ya mgao wa Maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Maji Mh MarryPrisca Mahundi wakati akijibu swali la Mbunge wa Ndanda Mh…

29/04/2021, 06:35

Serikali kutunga sheria uvunaji wa viungo

Na;Yussuph Hans. Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel, amesema kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo Ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akimjibu Mbunge…

29/04/2021, 06:17

Zahanati ya Chanhumba yakabiliwa na ukosefu wa dawa

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji Cha Chanhumba Kata ya Handali Wilayani Chamwino wamelalamikia ukosefu wa dawa katika Zahanati ya Kijiji hicho hali inayowalazimu kununua dawa katika maduka ya dawa. Hayo yameelezwa na wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na…