Radio Tadio

Habari za Jumla

2 December 2020, 8:38 am

Wananchi Wilayani Kongwa wanavyoshiriki kutunza mazingira

Na Selemani Kodima Dodoma. Ushirikiano wa wananchi na Uongozi wa Kijiji cha Sejeli Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma umetajwa kama njia inayoweza kukomesha uharibifu wa mazingira hususani ukataji wa Miti hovyo. Hayo yanajiri baada ya hivi karibuni Uongozi wa Kijiji…

1 December 2020, 6:20 am

Ukarabati wa skimu za Kilimo Ruaha wafikia asilimia 60

Na,Mindi Joseph Ukarabati wa miundombinu inayopeleka maji katika skimu za kilimo cha umwagiliaji Ruaha Mbuyuni, Namagozi na Mlenge Pawaga Mkoani Iringa iliyoharibiwa na mafuriko katika msimu wa mvua zilizopita umekamilika kwa Asilimia (60%). Akizungumza katika ofisi za Tume ya Taifa…

30 November 2020, 7:22 am

Ukosefu wa sera ya unywaji pombe wachangia kuzorotesha uchumi

Kutokuwepo kwa sera madhubuti zinazohusu masuala ya unywaji pombe kupita kiasi kumechangangia kushindwa kufanyika kwa shughuli za kiuchumi kutokana na baadhi ya watumiaji wa vinywaji vikali kuendekeza unywaji kupita kiasi.Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Mtandao wa mashirika ya…

26 November 2020, 9:48 AM

Gwiji Wa Soka Diego Maradona Afariki Dunia

Nyota wa Soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,  Novemba 25, 2020, ikiwa ni wiki mbili tu baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya oparesheni ya…

26 November 2020, 7:19 am

Wanawake na fursa za kiuchumi

Wanawake nchini wameshauriwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kujiongezea kipato ambacho kitawasaidia katika mambo mbalimbali hususan katika kugombea na kuendesha kampeni wakati wa chaguzi. Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Dodoma…

22 November 2020, 13:45 pm

IGP Sirro awahakikishia usalama wana Mtwara

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi litachukua muda mfupi kukabiliana na uhalifu unaoendelea katika Mkoa wa Mtwara, kama ilivyofanya katika kukabiliana na mauaji ya raia katika Wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani…