Radio Tadio

Habari za Jumla

24 June 2021, 10:05 am

RC Simiyu aagiza kusimamishwa kazi Daktari aliyesababisha kifo cha Mam…

Mkuu  wa mkoa  wa  Simiyu   Mh  David   Kafulila  amemuagiza  Mkurugenzi  Mtendaji  wa  Halmashauri   ya  wilaya  ya  Maswa   kumsimamisha  kazi   mganga  Mfawidhi  wa   Zahati  ya  Senani   iliyopo  kata  ya  Senani  wilayani  hapa   Ally  Soud   kwa  kusababisha   Kifo  cha  Mama  na  Mtoto …

23 June 2021, 10:58 am

DC ataka heshima kazini, Narudi kufundisha Madrasa.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Alhaji Majid Hemed Mwanga juni 22 2021 amewataka Viongozi wote Wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufanya hivyo Wilaya itasonga mbele zaidi…

23 June 2021, 10:15 am

Mradi wa Chujui la Maji Maswa wanufaisha wakazi zaidi ya Laki moja.

Zaidi  ya   wakazi  Laki  moja  wa  Mji  wa  Maswa  na  vijiji  jirani  wamenufaika   na  Mradi  wa    Mtambo  wa  kutibu  na  Kusafisha   Maji. Hayo  yamesemwa  na  Mkurugenzi  Mtendaji  wa  Mamlaka  ya  Maji  na  Usafi  wa  Mazingira  Maswa-MAUWASA   Mhandisi    Nandi  Mathias …

23 June 2021, 9:55 am

Wilaya ya Maswa yaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kipekee.

Jamii  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu   imeaswa  kushirikiana  na  vyombo  vya  kisheria  katika  kuhakikisha   inatokomeza  ukatili  kwa  watoto. Kauli  hiyo  imetolewa  na   Afisa  tarafa, tarafa  ya  Nughu  Ndugu Venance  Saria  kwa   niaba   ya  mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh,  Aswege  Kaminyoge …