Radio Tadio

Familia

3 Septemba 2024, 5:12 um

DUWASA yashauriwa kutatua kero za maji kwa wananchi

Na Yusuph Hassan. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mkoani Dodoma DUWASA imeshauriwa kuanzisha dawati kwa ajili ya kusikiliza na kutatua  kero za maji kwa wananchi. Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Janet Mayanja akizungumza katika…

15 Agosti 2024, 5:44 um

Wakazi Mchito watatuliwa kero ya maji

Baadhi ya wananchi hao wametoa shukrani zao za dhati kwa shirika hilo kwani kupitia msaada wa kisima kirefu cha maji kimepelekea wananchi kujikita na kilimo cha umwagiliaji. Na Victor Chigwada.Wananchi wa kijiji cha Mchito wametoa shukrani kwa wadau na wahisani…

5 Agosti 2024, 5:44 um

Upatikanaji wa maji Vikonje waimarika

Wanasema mwanzoni walikuwa wanapata maji yasiyo salama kutoka vyanzo visivyosahihi ila kwa sasa changamoto hiyo imepata suluhu kupitia mradi wa maji. Na Mindi Joseph.Upatikanaji wa Maji safi na salama katika Mtaa wa Vikonje A Kata ya Mtumba Mkoani Dodoma umeimarika…

15 Julai 2024, 5:29 um

Serikali kuchimba visima Igandu zaidi ya vitatu

Hata hivyo Serikali kupitia RUWASA bajeti ya 2023/2024 imepanga kujenga jumla ya miradi 1546. Na Victor Chigwada.Matumaini ya kupata huduma ya maji safi na salama yameanza kupata nuru kwa wananchi wa Kata ya Igandu baada Serikali kutenga fedha za kuchimba…

23 Mei 2024, 4:27 um

Wakazi zaidi 14,000 waondokana na adha ya maji Ntyuka

Kata ya Ntyuka ina Mitaa mitano na wamenufaika na Visima 3 viliyochimbwa katika maeneo yao kwani viwili vinatoa maji na kimoja bado hakijaanza kutoa maji. Na Mindi Joseph.Wakazi zaidi ya Elfu 14,000 wa kata ya Ntyuka Jijini Dodoma Wameondokana adha…

15 Aprili 2024, 9:34 um

Msukumo mkubwa wa maji wachangia kupasuka kwa mabomba

Duwasa imeendelea kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya upotevu wa maji ambao husababishwa na kupasuka kwa miundombinu ya Mabomba ya maji kutokana na presha kubwa ya maji. Na Mindi Joseph. Msukumo mkubwa wa maji umetajwa kuchangia Kupasuka kwa miundombinu ya mabomba…