Radio Tadio

Burudani

26/02/2026, 15:47

Wakazi walia miundombinu duni msimu wa mvua

Licha ya mvua kuleta neema kwa wakulima , hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Nyatorotoro B, kata ya Nyankumbu wilayani na mkoani Geita kwani wanalazimika kulala wakiwa wamesimama. Na: Ester Mabula Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, Wakazi wa…

17/02/2026, 18:07

Mbunge atimiza ahadi ya kununua mitambo ya barabara

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Chato kusini Mhe. Paschal Lutandula “Siwezi kuona wananchi wangu wa Chato kusini wanateseka na miundombinu mibovu ya barabara, na ndiyo maana nilisema ndani ya siku zangu 100 nitaleta mitambo na nimetimiza” – Mbunge Lutandula…

17/02/2026, 07:52

Mbunge awapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza barabara

Mbunge jimbo la Geita mjini, mkoani Geita, Chacha Wambura amewapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza miundombinu ya barabara huku akisema “katika kipindi cha uongozi wangu nitahakikisha barabara hii inatengenezwa kwa ubora zaidi ili kuondoa changamoto” Na: Ester Mabula Wananchi wa Kata…

15/02/2026, 11:38

Mbunge Geita mjini afanyia kazi kero ya barabara

“Nataka niseme kuanzia siku ya Jumanne, barabara zitaanza kufanyiwa matengenezo ili kero hii iweze kuondoka kwa wananchi wa eneo hili kwani serikali ya Rais Samia imetupa fedha kwaajili ya kukarabati miundombinu” – Mbunge Geita mjini, Chacha Wambura Na: Ester Mabula…

30/01/2026, 12:59

Ulinzi mkali Yanga ikivaana na Al Ahly New Amaan Complex

Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limesema limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama vinaimarishwa kabla, wakati na baada ya mchezo wa kimataifa wa mpira wa miguu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.…

26/01/2026, 17:42

Matukio ya watu kufa mto Buluhe Mbogwe sasa basi

Kutokana na mvua za El nino zilizonyesha siku za nyuma serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 500 kukabiliana na athari za uharibifu huo katika maeneo mbalimbali nchini. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Iponya wilayani Mbogwe mkoani Geita wameishukuru…

17/12/2025, 21:30

Mkandarasi akaliwa kooni Geita

Katika mwaka wa fedha 2025/2026 walitengewa jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi za matengenezo ya aina mbalimbali ya barabara na madaraja Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imetangaza rasmi kuanza kumkata fedha mkandarasi…

27/11/2025, 17:36

‘Utabiri wa jadi unalipa’

Zamani tulikuwa hatufuatilii utabiri wa hali ya hewa, wakati mvua zinanyesha sisi tunaandaa mashamba , mvua ikikata sisi tunapanda matokeo yake mbegu zashambuliwa na wadudu lakini sasa hivi tunafuatilia utabiri na tunavuna vizuri, ahsanteni CAN TZ. Na Cosmas Clement Elimu…