Radio Tadio

Burudani

27 November 2025, 5:36 pm

‘Utabiri wa jadi unalipa’

Zamani tulikuwa hatufuatilii utabiri wa hali ya hewa, wakati mvua zinanyesha sisi tunaandaa mashamba , mvua ikikata sisi tunapanda matokeo yake mbegu zashambuliwa na wadudu lakini sasa hivi tunafuatilia utabiri na tunavuna vizuri, ahsanteni CAN TZ. Na Cosmas Clement Elimu…

11 November 2025, 4:55 pm

Barabara za TACTIC Geita mjini kukamilika mapema mwaka kesho

Mkandarasi wa mradi huo hatapewa muda wa nyongeza baada ya siku 100 kukamiliza mapema mwezi wa pili mwaka kesho. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuendelea kumsukuma mkandarasi anayetekeleza mradi wa…

27 October 2025, 21:38 pm

CUF yaahidi maendeleo kwa Wananchi wa kata ya Madimba

Mgombea Ubunge wa Mtwara Vijijini kupitia CUF, Shamsia Azizi Mtamba, amewataka wananchi wa Kata ya Madimba kuendelea kumuamini na kumpa kura, akiahidi kuendeleza maendeleo na kulinda kura zao dhidi ya propaganda za kisiasa Na Musa MtepaMtwara–Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la…

8 October 2025, 5:30 pm

Miundombinu hifadhi ya taifa Rubondo yaboreshwa

Kwa sasa hifadhi hiyo inaendelea kuboresha huduma za utalii, ikiwa ni pamoja na usafiri wa majini, malazi ya kisasa na shughuli za uhamasishaji wa utalii wa ndani. Na Mrisho Sadick: Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo iliyopo wilayani Chato…

2 October 2025, 11:39 am

Wananchi wahimizwa kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025

Watanzania wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, kuchagua viongozi watakaosimamia maendeleo ya taifa. Wito umetolewa na Nabii Nicolous Suguye wakati wa ziara yake kwenye vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika…

1 October 2025, 6:22 pm

wazazi watakiwa kuchangia chakula kwa wanafunzi

Picha Na Joyce Elias Wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi terrat wilaya ya simanjiro wamehimizwa kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha huduma za chakula kwa wanafunzi. Akizungumza Katika kikao cha wazazi na uongozi wa shule hiyo Mwenyekiti wa…

26 September 2025, 11:03 am

THBUB yatoa mafunzo kwa wanahabari Mtwara

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mtwara, ikiwataka kuzingatia maadili ya taaluma, haki za binadamu na misingi ya utawala bora, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Waandishi wameahidi kutumia mafunzo…

September 26, 2025, 9:07 am

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…