Radio Tadio

Biashara

2 Disemba 2024, 12:44

Viongozi serikali za mitaa watakiwa kulinda amani na usalama

Viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wametakiwa kuhakikisha wanalinda amani na usala katika maeneo yao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amewataka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji…

25 Novemba 2024, 14:27

Askofu Mlola awataka vijana kukemea rushwa Kigoma

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma Mhashamu Joseph Mlola amewataka vijana kuwa mstari mbele kukemea vitendo vya rushwa kwenye jamii hasa kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za mitaa. Na Emmanuel Kamangu Vijana  mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanakemea ruswa…

21 Novemba 2024, 10:04

CCM walia na migogoro ya ardhi, umeme Kigoma

Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zikiwa zimenduliwa rasmi, viongozi wa chama cha mapinduzi wameomba serikali kuaidia kutatua changamoto za ukosefu wa umeme na migogoro ya ardhi. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Serikali kupitia chama cha mapinduzi ccm…

21 Novemba 2024, 09:36

Serikali yatenga fedha utatuzi wa changamoto ya umeme Kigoma

Serikali imesema tayari imekwisha tenga fedha za kuhakikisha inatatua changamoto zaukosefu wa umeme kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma ili kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo kupitia gridi ya Taifa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano…

15 Novemba 2024, 15:00

DC Kasulu awafunda madiwani kuelekea uchaguzi

Zikiwa zimebaikia siku 12 kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mkuu wa wilaya ya kasulu kanal Isack mwakisu amewataka madiwani wilayani humo kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi wajitokeze kuwachagua viongozi wao. Kanal mwakisu amesema hayo katika mkutano…

8 Novemba 2024, 4:00 um

Maswa:Kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira

“Wakati dunia inapambana na mabadiliko ya tabia nchi utokanao na uharibifu wa mazingira haswa katika matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira”. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya hekta laki nne hupotea nchini…

7 Novemba 2024, 11:08 mu

Maswa: Wanawake na Samia waaswa kutumia nishati safi yakupikia

Matumizi ya nishati safi yakupikia inatajwa kuwa ni mwarobaini wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira,huku ikitajwa kuwanufaisha wanawake Mkoani Simiyu kwakuokoa gharama,muda na maradhi yanayotokana na matumizi ya mkaa na kuni Na,Alex Sayi Wanawake na Samia mkoani Simiyu wameaswa kuunga…

31 Oktoba 2024, 3:01 um

CCM Nyasura wawapamba wagombea kurejesha fomu

Mwenyekiti wa CCM kata ya Nyasura asema makundi yote yaliyokuwepo kwenye kura za maoni yalishavunjwa awataka wanachama kujitokeza kwenye mikutano na kupiga kura atoa rai kwa vyama vya siasa kufanya kampeini za kistaarabu. Na Adelinus Banenwa Waliochukua fomu za kugombea…