Biashara
1 September 2025, 13:31
Serukamba aahidi neema kwa wananchi Kigoma Kaskazini
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini Peter Serukamba na Mgombea udiwani Kata ya Mungonya Agustino Mbanga wamesema watahakikisha wanatekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi wa Kata ya Mungomya ikiwemo barabara, maji na afya. Na Tresiphol Odace Bwana – Kigoma Wananchi…
20 August 2025, 16:08
Gamuye achukua fomu kugombea udiwani Mwilamvya
Wagombea waendelea kuchukua fomu za kugombea na kuahidi kushirikiana na wananchi Na HagaiRuyagila Wananchi wa Kata ya Mwilamvya, wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kudumisha umoja, mshikamano na kuachana na makundi ya kisiasa yanayoweza kusababisha migogoro, Badala yake wametakiwa kushirikiana katika…
15 August 2025, 5:04 pm
Wazazi, walezi waleeni watoto katika maadili
Mkuu wa dawati jinsia na watoto Katavi Judith Mbukwa. Picha na Anna Mhina “Tutengeneze ukaribu na watoto wetu kutawajengea usalama zaidi” Na Roda Elias Wazazi katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ndoto za watoto ili ziweze kutimia.…
12 August 2025, 11:20
Maombi yanahitajika kuelekea uchaguzi mkuu Kasulu
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais, wakristo wameaswa kuendelea kuombea uchaguzi huo ili uweze kufayika kwa amani na utulivu Na Hagai Ruyagila Waumini wa Dini ya Kikristo katika Wilaya ya Kasulu, Mkoani Kigoma, wametakiwa kuendelea kuliombea taifa la…
5 August 2025, 11:56
Viongozi wa dini waaswa kuhubiri amani Kigoma
Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, viongozi wa dini wametaikiwa kuendelea kuliombea Taifa amani na mshikamano Viongozi wa dini Mkoani Kigoma wametakiwa kuhubiri amani na kudumisha umoja na…
4 August 2025, 15:48
Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata watakiwa kuwa waadilifu
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kasulu Mjini, Nurfus Aziz, amewatakiwa wasimamizi kuhakikisha vituo vya kupiga kura vinafunguliwa mapema kulingana na maelekezo ya tume huru ya taifa ya Uchaguzi Na Hagai Ruyagila Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata katika…
11 July 2025, 4:04 pm
Wenye ulemavu waiomba Tanzania kusaini mkataba wa Afrika ADP
Nchi ambazo zimesaini Mkataba wa Afrika Kuhusu Haki za Watu Wenye Ulemavu (African Disability Protocol, ADP),ambao umeanza kutumika rasmi tangu Mei 2024 ni Angola, Burundi,Cameroon, Congo Brazzaville, Kenya, Mali, Malawi, Msumbiji, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbambwe.…
3 July 2025, 8:25 pm
Vigogo wa migodi waenguliwa kwenye nafasi zao Simiyu
“Hatuwezi kufikia malengo kwa sitaili hii lazima tuheshimiane kwa kuzingatia sheria,miongozo na miiko ya kazi hivyo lazima katika safari ya mafanikio kuna watu tunapaswa tuachane nao kabisa ili safari hii iweze kwenda mbele kwa kasi tunayotakiwa ili kufikia malengo ya…
3 July 2025, 10:57
Mila, desturi kikwazo kwa wanawake kuwania uongozi
Katika jamii nyingi, mila na desturi zimekuwa nguzo muhimu zinazotambulisha utamaduni na urithi jamii husika. Hata hivyo, mila hizo zimekuwa pia kikwazo kikubwa kwa wanawake wengi, hasa linapokuja suala la uongozi ambapo zimekuwa zikiwanyima wanawake nafasi ya kushiriki kikamilifu katika…
21 June 2025, 12:01 pm
Kipindi: NEMC Kanda ya Kusini yaelimisha jamii matumizi mifuko ya plastiki
Hii ilikuwa sehemu ya kipindi kilichofanyika redioni kuelekea maadhimisho ya wiki ya Mazingira Duniani ambapo NEMC iliwasihi wananchi kutumia vifungashio vinavyokubalika kisheria ili kulinda mazingira, huku ikiendelea kutoa elimu kuhusu madhara ya mifuko ya plastiki na umuhimu wa utunzaji wa…