Ajali
19 December 2024, 6:53 pm
Mwili wa aliyefariki kwa kushindwa kulipa 150,000 ya matibabu waagwa
kufuatia tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Babati Benedict Ntabagi amewasimamisha kazi watoa huduma wa tatu wa kituo cha afya cha magugu akiwemo Afisa Tabibu,Afisa Muuguzi msaidizi na Mteknolojia wadawa kwa kushindwa kutekelekeleza majukumu yao ipasavyo ili kupisha…
9 October 2024, 08:24
Wananchi watakiwa kuacha kuchoma moto wakati wa kuandaa mashamba
Wakati msimu wa kilimo ukiwa umekaribia wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhali ya kutokuharibu Mazingira. Na Hobokela Lwinga Wito umetolewa kwa baadhi ya wananchi kuacha tabia ya kuchoma moto mashamba wakati wa usafishaji ili kuepuka athari za moto huo kusambaa katika maeneo…
7 October 2024, 10:10 am
GGML yakabidhi nyumba 6 na pikipiki 50 kwa jeshi la polisi Geita
Mgodi wa Geita Gold Minning Limited umekabidhi nyumba 6 na pikipiki 50 kwa Jeshi la polisi mkoani Geita ikiwa ni sehemu ya urejeshaji wa Jamii (CSR). Na: Evance Mlyakado – Geita Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati Dkt. Doto…
26 August 2024, 17:44
Moto waunguza bweni, wanafunzi 107 wakosa pa kulala Mbeya
Katika hali ya kusikistisha moto umezuka katika bweni la wanafunzi na kusababisha kukosa pa kulala. Na Hobokela Lwinga Wanafunzi 107 wa Shule ya Sekondari Nsenga, jijijini Mbeya wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala kuwaka moto huku vitu vyote vikiteketea.…
July 4, 2024, 4:39 pm
Naibu Waziri Kapinga awahakikishia umeme wananchi wa vijiji vya Manzwagi, Kidun…
Naibu Waziri wa Nishati. Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kuwasimamia kwa umakini wakandarasi ili waweze kukamilisha kazi zao kwa wakati na kwa ufanisi, pia amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni Sawa na kilometa…
6 February 2024, 4:48 pm
Mwanafunzi afariki wakati akiogelea bwawani Geita
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mashimo makubwa kujaa maji nakuleta madhara kwa watu na wanyama waliyopembezoni mwa mashimo hayo. Na Kale Chongela: Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Mbabani Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita wilayani Geita amefariki…
6 February 2024, 8:26 am
Soko la Mbuyuni lateketea kwa moto
Soko la Mbuyuni limeteketea kwa moto na kuwasababisha hasara kwa wafanyabiashara wa soko hilo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amefika soko la Mbuyuni lililoteketea kwa moto usiku huu…
5 February 2024, 5:15 pm
Mtoto afariki kwa kutumbukia kwenye shimo la choo mjini Sengerema
Wananchi mjini Sengerema wametakiwa kufunika au kufukia mashimo yaliowazi ili kuepusha matukio ya watoto kutumbukia na atakae kaidi sheria kali zitachukuliwa dhidi yake. Na:Tumain John Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 5 mkazi wa mtaa Geita road kata ya…
1 February 2024, 5:54 pm
Katavi: Wachimbaji waaswa kuchukua tahadhari migodini kipindi cha mvua
“Kaimu kamanda Geofrey Mwambungu amesema kuwa kuna ajali nyingi hutokea katika maeneo ya Migodini kipindi cha mvua”. Picha na Gladness Richard. Na Gladness Richard-Katavi Wachimba wa madini mkoani Katavi wameshauliwa kuchukua tahadhali kabla hawajaingia kwenye Migodi katika kipindi hiki cha…
30 January 2024, 2:32 pm
Mlinzi achinjwa na watu wasiojulikana usiku Sengerema
Matukio ya walinzi kuuawa mjini Sengerema yamekuwa yakijirudia mara kwa mara kila mwaka jambo hili limekuwa likihusishwa na imani za kishirikina pamoja na wivu wa kimapenzi. Na;Said Mahera Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Mwasenda …