Afya
23 December 2023, 15:21 pm
Vifo vya wajawazito, watoto wachanga bado ni changamoto Mtwara-Makala
Kwa mujibu wa Mganga Mkuu mkoa wa Mtwara, kumekuwepo na ongezeko la vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga kwa kipindi cha miezi mitatu. Na Gregory Millanzi Binadamu tunapitia nyakati tofauti tofauti katika maisha yetu, baadhi ya nyakati tunazopita…
23 December 2023, 12:52
‘Cha Malawi’ chateketezwa Kasumulu
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kyela imeteketeza jumla ya tani 154.28 za madawa ya kulevya aina ya bangi zilizokamatwa baada ya misako mbalimbali ya jeshi la polisi wialayni hapa. Na Nsangatii Mwakipesile Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine…
22 December 2023, 2:20 pm
Hospitali Siha yakabidhiwa vifaa tiba na magari matatu
Vifaa tiba pamoja na gari vilivyokabidhiwa katika hospitali ya wilaya ya Siha (picha na Elizabeth Mafie) Hospitali ya wilaya ya Siha imekabidhiwa vifaa tiba pamoja na magari vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa. Na Elizabeth Mafie Ambulance…
21 December 2023, 5:47 pm
Tatizo la afya ya ngozi latajwa kuchangia muwasho wa jicho
Dkt. Salumu amesema matatizo ya ngozi pamoja na matumizi ya sabuni za aina tofauti husababisha mtu kupatwa na tatizo hilo. Na Aisha Alim. Tatizo la macho kupatwa na muwasho linataja kusababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo tatizo la afya ya ngozi…
20 December 2023, 4:15 pm
Wananchi Katavi waaswa juu ya matumizi holela ya dawa za kuzuia mbu
Wananchi Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria. Na Gladness Richard – Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria katika msimu huu wa mvua.…
20 December 2023, 4:06 pm
Wananchi Katavi waaswa kukata bima ya afya
Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi wametakiwa kukata bima ya afya. Na Deus Daud – KATAVI Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi…
20 December 2023, 1:46 pm
Waganga wa wilaya watakiwa kutumia vema magari ya yaliyo tolewa na serikali
Ikumbukwe Dodoma ina jumla ya Vituo vya afya 545 ambapo hospitali ni 16,Vituo vya afya 63,zahanati 438 na kliniki maalum 26 . Na Mariam Kasawa. Waganga wakuu wa wilaya wametakiwa kutumia Vyema magari yaliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kwenda…
20 December 2023, 10:57 am
Wakinamama 1657 wamepewa elimu juu ya lishe Ngorongoro
Wilaya ya Ngorongoro ni moja ya wilaya ambazo wanaishi wafugaji kwa asilimia kubwa na chakula chao kikukuu ni nyama pamoja na maziwa hivyo maafisa lishe wamekuwa wakiendelea kutoa elimu juu ya kula lishe bora na faida zake katika jamii hiyo…
19 December 2023, 7:42 pm
JKCI wasogeza matibabu ya kibingwa Kilimanjaro
Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete ( JKCI ) yaanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa katika mkoa wa Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Wananchi mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani wameanza kupatiwa huduma na matibabu ya kibingwa ya ugonjwa wa moyo…
18 December 2023, 9:43 pm
Magonjwa yasiyoambukiza huchangia asilimia 33 ya vifo nchini-WHO
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi huathirika zaidi na magonjwa yasiyoambukiza. Na Fred Cheti. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaeleza kuwa magonjwa yasiyoambukiza yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu hizo…