12 February 2026, 8:14 pm

Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti shuleni

‘Tunapaswa kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanaenda shule madiwani waote na wakuu wa idara ya elimu mkasimamie hilo na kuzingatia chakula kinapatikana shuleni Kwa ajili ya lishe Kwa wanafunzi” Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salmu Alfan Mtelela Na Amos Marwa…

On air
Play internet radio

Recent posts

25 November 2026, 12:15 pm

Usalama Na Afya Mahali Pa Kazi.

“Mazingira salama ya kazi huongeza tija na furaha kwa wafanyakazi.” Kaimu Mkurugenzi Saidi Ramadhani Na Jesca Mwita Zaidi ya Wahudumu taka 40 waliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wamepewa mafunzo ya Usalama na Afya mahali pa kazi yaliyodhaminiwa na…

25 November 2026, 11:31 am

Magonjwa kwa mifugo sasa basi.

“SERIKALI itaendelea kubeba gharama za msingi kwa ajili ya chanjo na utambuzi wa mifugo kama hatua ya kumlinda mfugaji mdogo dhidi ya gharama za utunzaji na hatari za magonjwa ya mifugo.” Katibu Tawala Ndugu Shabani Manyama Na Jesca mwita Serikali…

20 November 2026, 9:42 am

Bima ya afya kwa wote yaimarishwa kwa wananchi

Viongozi wanasisitiza kuwa afya duni inakwamisha uzalishaji, na hivyo “ni muhimu kila mwananchi kuona thamani ya kuwa na bima ya afya ili apate huduma kwa wakati anapohitaji”.     Na Jesca Mwita Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wametakiwa  kujiunga na…

17 November 2026, 6:20 pm

Ufaulu Wa Wanafunzi Umeangaziwa.

Afisa elimu Msingi Saidi Ramadhani na Mkuu wa shule ya sekondari Sazira Mwl Edgar Sibora wakati akikabidhiwa computer ,Picha na Liwina Mnamba. “Serikali imejipanga kuhakikisha wanafanzi wanafaulu katika masoma yao“ Na Jesca Mwita Katika kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwa ufasaha na…

12 November 2026, 12:41 pm

Wenye ulemavu waomba urahisi wa kupata mikopo

Mtu mwenye ulemavu Delti Sagare anajishughulisha na ujasiriamali kujiingizia kipato. Picha na mtandao “Tunapoenda kuomba mkopo tunakutana na vikwazo vingi, tunaambiwa tuwe zaidi ya mtu mmoja hivyo inatuwia vigumu”.  Delti Baraka Sagare Na Jesca Mwita Watu wenye ulemavu Halmashauri ya…

12 February 2026, 8:14 pm

Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti shuleni

‘Tunapaswa kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanaenda shule madiwani waote na wakuu wa idara ya elimu mkasimamie hilo na kuzingatia chakula kinapatikana shuleni Kwa ajili ya lishe Kwa wanafunzi” Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salmu Alfan Mtelela Na Amos Marwa…

13 January 2026, 7:30 pm

Walimu pokeeni wanafunzi bila masharti yoyote

”Hata kama mwanafunzi hajakamilisha mahitaji yake ya shule kama vile sare za shule apokelewe asajiliwe na aendelee na masomo mwalimu mkuu atake mzuia mwanafunzi atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kupokonywa ukuu wa shule” Mkuu wa wilaya ya Bunda Aswege Enock…

11 January 2026, 7:52 pm

Bunda watoa maoni kwa tume ya vurugu baada ya uchaguzi

“Nadhani uongozi wa juu ndani ya vyama  vya kisiasa ulichongia hasira Kwa vijana sisi tunajuana tunapomchagua mtu flani majina yakienda katika ngazi ya juu na huyo mtu jina lake kukatwa maanaake wanatuletea mtu wanao mtaka wao na sio maoni ya…

7 January 2026, 7:44 pm

Serikali yajipanga kupunguza upotevu wa maji Bunda

”Kuna sababu nyingi za upotevu wa maji ikiwemo miundombinu kuwa chakavu, uchepushaji wa maji mita zinazotumika kwa sasa na matumizi yasiyozingatia mahitaji halisi” Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Andrea Mathew Na Amos Marwa Serikali imejipanga kupunguza tatizo la upotevu…

8 December 2025, 5:33 pm

Wananchi Bunda wahakikishiwa usalama Disemba 9

Na Amos Marwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Aswege Enock Kaminyoge, amewahakikishia wananchi usalama na kuwataka kwendelea na shughuli zao za kila siku kesho disemba 9 Kaminyoge ameyasema hayo baada ya mazungumzo…

Bunda FM Radio

SLOGAN: Our station has decided to use ‘‘NGURUMO YA JAMII’’ or a ‘‘COMMUNITY’S ROAR’’ which
symbolise that the station is not for individual but for all people to express their socio-economic
issues which they normally encounter when fulfilling their day to day livelihood through our
structured programs.
OURPOLICY: Fairness, Professionalism, and Accuracy. This enables the staff to carry out their duties and
reporting in fairness to all issues of public concern with accuracy based on professional ways of
journalism.
GEOGRAPHICALAREA: Bunda FM 92.1 Ngurumo ya jamii is specifically situated at Bunda district in Mara region in the western part of Lake Victoria.
Bunda FM is operating its programs 24hours/7days and our day start 5.00 am and ends at 5.00 am in
the next day.
 Dissemination of educative programs through provision of accuracy flow of information,
timely with fairness.
 Filling the gap of development programs by producing informative and entertainment
programs.
 Broadcasting programs based on social, economic, cultural, political, religious, entertainment,
current affairs, cross-cutting issues and all issues affecting the targeted community livelihood.

CONTACT US:
Bunda FMLTD, 92.1MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
Website:
www.bundafm.co.tz
PNONENO: +255 754279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216