Bunda FM Radio
Bunda FM Radio
17 November 2026, 6:20 pm

Afisa elimu Msingi Saidi Ramadhani na Muu wa shule ya sekondari sazira Mwl Edgar Sibora wakati akikabidhiwa computer
Picha na Liwina Mnamba
Na Jesca Mwita
Katika kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwa ufasaha na weredi somo la TEHAMA, Halmashauri ya Mji wa Bunda na Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP imekabidhi Kompyuta nane kwa shule ya Sekondari Sazira kwa ajili ya kufundishia somo hilo.
Hayo yamesemwa na Afisa Elimu shule za msingi; Ndg Said Ramadhani; “Amesema lengo ni kurahisisha ufundishaji kwa walimu na kuongeza ufaulu kwa wanafunzi.”
Insert……………………………. Ramadhani
Sauti Afisa elimu Saidi Ramadhani na Mkuu wa shule sekondari sazira Mwl Edgar Sibora
Hata hivyo amemuomba mkuu wa shule hiyo kutunza vifaa hivyo ili wanafunzi waweze kujifunza vizuri katika masomo yao.