Zenj FM

Usalama

12 June 2024, 5:32 pm

Jeshi la Polisi Zanzibar lapania kupunguza ajali

Na Omary Hassan Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi DCP Ramadhan Ng’anzi amesema Jeshi la Polisi linashirikiana na Taasisi nyengine zinazosimamia usalama barabarani kuweka mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ambazo zimekuwa zikileta madhara kwa…

28 May 2024, 4:30 pm

Wananchi watakiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi

“Mnaosimamia upelelezi chukueni hatua kesi zipate mafanikio mahakamani” amesema D/DCI Chembera. Na Omar Hassan / Said Bakar Viongozi wanaosimamia Upelelezi wa Makosa ya Jinai katika ngazi ya Mikoa, Wilaya na Vituo vya Polisi wametakiwa kuwasimamia wapelelezi kutimiza wajibu wao na…

2 May 2024, 2:24 pm

Madereva wazembe kupokonywa leseni Zanzibar

Na Suleiman Abdalla Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani watoa elimu ya usalama barabarani kupitia radio visiwani Zanzibar. Kitengo cha Usalama Barabarani Zanzibar kimewataka madereva na watembea kwa mguu kufuata kanuni na sheria zilizowekwa ili kuepuka ajali za mara…

9 April 2024, 7:40 pm

Polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi sikukuu ya Eid el Fitr

Na Mary Julius. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja SACP Daniel Emanuel Shilla amesema jeshi la polisi limejipanga katika kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama inaimarika kipindi chote cha sikukuu ya Eid el Fitr. Kamanda ameyasema hayo wakati akizungumza…