Vwawa FM Radio

Recent posts

May 27, 2025, 9:52 am

Bodaboda Songwe walia na ukosefu wa vyoo

Ukosefu wa vyoo katika vituo vya bodaboda wazua hofu ya uchafuzi wa mazingira katika mkoa wa Songwe Na Mkaisa Mrisho Waendesha pikipiki (bodaboda) katika maeneo mbalimbali ya Vwawa, mkoani Songwe, wamelalamikia ukosefu wa vyoo katika vituo vyao vya kazi, wakisema…

May 26, 2025, 12:37 pm

Biashara zavurugika Isongole kufuatia kufungwa kwa mpaka wa Malawi

Kufungwa kwa mpaka wa Isongole imekuwa kilio kwa wafanyabiashara wa mpakani hususani wanaouza mazao nje ya nchi Na Kennedy Sichone Wafanyabiashara wa Isongole na maeneo ya jirani katika Wilaya ya Ileje, Mkoa wa Songwe, April 28 mwaka huu wameiomba serikali…

May 14, 2025, 11:30 am

Wakazi Songwe wakinadi chakula cha asili aina ya kinaka

Ni chakula cha asili, wanadai wanakipenda kuliko nyama ya ng’ombe au mayai Na Mwandishi Wetu Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wametoa wito wa kuenzi vyakula vya asili kikiwamo kikanda maarufu kwa jina la kinaka. Wakizungumzia kuhusu…

May 7, 2025, 12:46 pm

Wanandoa watakiwa kuvumiliana

Malengo ni kupunguza ndoa kuvunjika Na Pili Mwang’osi TAASISI zinazofungisha ndoa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, zimewataka wanandoa hususan vijana kuwa wavumilivu ili kupunguza wimbi la ndoa kuvunjika. Ofisa Tarafa ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Edward Lugongo , ametoa wito…

May 7, 2025, 11:54 am

Wauzaji wa mitungi ya gesi wapewa neno

Ni kutaka kuwaridhisha wateja   Na Anyisile Freddy Wauzaji wa gesi ya kupikia wametakiwa kuwa na mizani ya kupimia mitungi ya gesi ili kulinda uaminifu kwa wateja. Mfanyabiashara wa kuuza mitungi ya gesi mjini Vwawa mkoani Songwe, Grace Sichone amesema…

May 5, 2025, 12:46 pm

Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Songwe latoa elimu

Sajenti Ahobokile Lugembe (kushoto) akitoa elimu kwa wananchi wa Vwawa. Picha na John Kiango Elimu ya wazi yatolewa kwa wananchi wa Wilaya ya Mbozi juu ya namna ya kujikinga na majanga ya moto yanapotokea. Na John Kiango Jeshi la zimamoto…

April 24, 2025, 9:06 am

Bodaboda chanzo cha migogoro katika jamii

Waendesha bodaboda wanatajwa kuvujisha siri za wateja wao Na Mkaisa Mrisho MBOZI Baadhi ya watumiaji wa vyombo vya usafiri maarufu kama Bodaboda wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wamelalamikia baadhi ya waendesha vyombo hiyo kuvujisha siri za wateja wao kwa watu…

April 23, 2025, 12:53 pm

Wananchi Isangu walalamikia ubovu wa barabara

Ubovu wa barabara wakwamisha wananchi kutofanya shughuli za maendeleo Na Kennedy Sichone HASANGA Wananchi wa kitongoji cha Isangu kata ya Hasanga wilayani Mbozi mkoani Songwe wamelalamikia ubovu wa barabara ya kutoka Isangu kwenda kitongoji cha Iyela. Wakizungumza na Vwawa FM…

Vwawa Fm Radio

 “VWAWA FM” is a commercial, variety hits radio station transmitting from VWAWA MBOZI, SONGWE. The radio is programmed with music, well researched information, ethical advertisement and promotions. The station employs competent individuals who are creative and professionally dedicated to satisfying our listeners, sub scribers, and advertisers, needs.

The radio is owned by SONGWE MEDIA COMPANY LIMITED, a company registered under Tanzania Act of Companies  in 6th September  2017 with certificate of incorporation No. 137624 of  6th September, 2017.

The main purpose for the establishment of VWAWA FM was to air to the public the important event, occurring in the country and outside of it, as well as, education, customs, tradition, science, health, agriculture, road traffic, household knowledge, and entertainment through to traditional and modern songs, opera, drama, music among others. This satisfies the needs of information sharing and talent development. 

  • Location

VWAWA FM is located in SONGWE region, Mbozi District at Hasanga Ward though its broadcasting covers areas of neighboring regions, like Mbeya, and some areas of Rukwa, katavi, Njombe and some parts of Northern regions of Zambia and Malawi.

  1. Mission:

To be the best radio on the southern highland regions, whose content is to be closer to the listeners by telling them their annoyances, informing, educating, criticizing and entertaining.

Help provide employment to young people journalist and non journalist.

  1. Vision:
    • To be a great media outlet heard in a vast area by improving sensitivity to the ten (10) regions of Mainland of Tanzania.
    • To integrate the Tanzanian community living in those regions based on their traditions and customs.
    • Also set up a Channels of TV that will air its broadcast national wide
    • Our organization will build a strong financial base with a fully supported staff.
    • We will be recognized as creators and distributors of high-quality radio programming.