Vwawa FM Radio

Recent posts

August 11, 2025, 8:00 pm

Madereva kudumisha amani, wamkaribishaRC mpya Songwe

Waendesha usafiri Songwe wamemkaribisha RC mpya wa Songwe na kuahidi kulinda amani Mkoani humo, huku wakisisitiza kushirikiana na serikali na kutojihusisha na makundi ya kihalifu. Na Stephano Simbeye Waendesha bodaboda, maguta na bajaji wamesema hawako tayari kujiunga na makundi maovu…

August 9, 2025, 9:12 pm

DC Mbozi atoa onyo kali kwa wavunjifu wa amani kipindi cha uchaguzi

viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wadau wengine wa uchaguzi wamekutana Mbozi kuweka mikakati ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa amani na haki, huku DC Hamad Mbega akitoa onyo kali kwa wavunjifu wa amani Na Stephano Simbeye…

July 17, 2025, 2:03 pm

Siwale aweka historia ya kugombea Urais kutoka Songwe

Mzee Siwale (80) kutoka Mbozi, Songwe, achukua fomu ya urais kupitia CUF, akiweka historia ya kuwa mgombea wa kwanza kutoka mkoa huo. Na Stephano Simbeye Mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF kutoka wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe, Nkunyuntila Siwale…

June 9, 2025, 1:39 pm

Mitazamo hasi yawapora wenye ulemavu fursa za maendeleo

Na Stephano Simbeye Mitazamo hasi dhidi ya watu wenye ulemavu imeendelea kuwa mojawapo ya sababu zinazochangia kutowajumuisha ipasavyo katika shughuli za maendeleo ya jamii, hali inayosababisha vipaji vyao walivyopewa na Mungu kubaki bila kuendelezwa. Kauli hiyo imetolewa Juni 6 mwaka…

June 7, 2025, 7:47 am

ADP Mbozi lawataka watoa huduma za afya wajifunze lugha ya alama

Ni kurahisisha mawasiliano na wasiosikia Na Stephano Simbeye Shirika lisilo la Kiserikali la ADP Mbozi mkoani Songwe limewasihi watoa huduma za afya nchini kuielewa lugha ya alama inayotumiwa na wenye changamoto za kusikia ili waweze kuwasiliana vuziri na watu wanaotumia…

June 6, 2025, 12:39 pm

Wenye watoto chini ya miaka 5 wakumbushwa umuhimu wa kliniki

Ni pamoja na kupata elimu ya lishe bora na afya ya watoto Na Mwandishi wetu Wazazi na walezi wa watoto chini ya miaka mitano kitongoji cha Isangu Mbozi mkoani Songwe  wamehimizwa kufika kliniki na kuwalisha watoto chakula bora ili wakue…

June 5, 2025, 4:36 pm

Utata wa zawadi za bibi au bwana harusi wajadiliwa

Ni kuhusu umiliki wa zawadi ya ardhi au  gari Na Pili Mwang’osi Vijana wanaotarajia kuoa ama kuolewa  wametakiwa kutambua kuwa zawadi wanazopewa kwenye sherehe ni hazina ya wanandoa wote. Mchungaji wa Kanisa la Moravian,Ushirika wa Isangu, Tabson Mgala maarufu Walola…

June 5, 2025, 1:57 pm

Abiria wajadili uchafu wa madereva wa bodaboda Mbozi

Wadai kukerwa na harufu mbaya, mwenyekiti wa madereva atoa ya moyoni Na Anyisile Fredy Baadhi ya abiria  wa bodaboda na bajaji mjini Vwawa Mbozi mkoani Songwe wameendelea kuzungumzia kero wanazopata kwa madereva wachafu wa vyombo hivyo. Akizungumzia suala hilo, abiria…

June 1, 2025, 11:20 am

Last Church of Tanzania lagusa wengi kwa msaada wa kipekee Mbozi

Kanisa la Last Church of Tanzania limeendesha zoezi la kugawa misaada ya bidhaa muhimu kwa wahitaji wilayani Mbozi, likisisitiza kuwa huduma hiyo itaendelea kila mwezi. Na Anyisile Fredy Askofu wa Kanisa la Last Church of Tanzania, David Sichone, amesema utoaji…

Vwawa Fm Radio

 “VWAWA FM” is a commercial, variety hits radio station transmitting from VWAWA MBOZI, SONGWE. The radio is programmed with music, well researched information, ethical advertisement and promotions. The station employs competent individuals who are creative and professionally dedicated to satisfying our listeners, sub scribers, and advertisers, needs.

The radio is owned by SONGWE MEDIA COMPANY LIMITED, a company registered under Tanzania Act of Companies  in 6th September  2017 with certificate of incorporation No. 137624 of  6th September, 2017.

The main purpose for the establishment of VWAWA FM was to air to the public the important event, occurring in the country and outside of it, as well as, education, customs, tradition, science, health, agriculture, road traffic, household knowledge, and entertainment through to traditional and modern songs, opera, drama, music among others. This satisfies the needs of information sharing and talent development. 

  • Location

VWAWA FM is located in SONGWE region, Mbozi District at Hasanga Ward though its broadcasting covers areas of neighboring regions, like Mbeya, and some areas of Rukwa, katavi, Njombe and some parts of Northern regions of Zambia and Malawi.

  1. Mission:

To be the best radio on the southern highland regions, whose content is to be closer to the listeners by telling them their annoyances, informing, educating, criticizing and entertaining.

Help provide employment to young people journalist and non journalist.

  1. Vision:
    • To be a great media outlet heard in a vast area by improving sensitivity to the ten (10) regions of Mainland of Tanzania.
    • To integrate the Tanzanian community living in those regions based on their traditions and customs.
    • Also set up a Channels of TV that will air its broadcast national wide
    • Our organization will build a strong financial base with a fully supported staff.
    • We will be recognized as creators and distributors of high-quality radio programming.