6 March 2025, 5:32 pm

Wakulima Tabora watakiwa kupima afya zao

Utaratibu wa kupima afya kwa mkulima utamsaidia kujua mapema endapo amepata maambukizi ya magonjwa kipindi cha kilimo Na Nyamizi Mdaki Wakulima Wilayani Uyui mkoani Tabora wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya mara baada ya msimu wa kilimo kumalizika ili…

On air
Play internet radio

Recent posts

3 October 2025, 9:05 am

Wahudumu wa bucha watakiwa kupima afya

Na Zabron G Balimponya Wahudumu wa kutoa huduma ya nyama katika mabucha wameshauliwa kutouza kipande cha nyama chenye muhuri wa daktali hadi kiwe cha mwisho ili kipande hicho kitumike kumlidhisha mteja kwamba nyama hiyo imepimwa na ni salama kiafya Hayo…

2 October 2025, 7:58 pm

Elimu ya stadi za maisha yawafikia vijana, wazee

Serikali yaombwa kutoa ushirikiano kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Na Zabron G Balimponya Serikali imeombwa kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha wa kutambua watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi  na kuwatambua wale wanaoweza kuwasaidia kutoka katika hatali hiyo ili watoto hao…

27 September 2025, 7:50 pm

RC Chacha awakabidhi ma-DC magari matatu

Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amekabidhi magari matatu kwa Halmashauri za Manispaa ya Tabora, lgunga na Sikonge, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa viongozi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano,…

27 September 2025, 7:31 pm

DC Tabora azindua dawati la uwezeshaji biashara

Na Wilson Makalla Mkuu wa wilaya ya Tabora, Upendo Wella amezindua Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara kwa Wananchi mkoa wa Tabora siku ya Jumanne Septemba 23, 2025 katika Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) Mkoa wa Tabora na…

27 September 2025, 7:14 pm

RC Chacha awasihi wafanyabiashara kujisajili mfumo wa NeST

“Serikali inaendelea kushirikiana kwa karibu na wananchi kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa sambamba na kuweka mazingira bora ya biashara na uwekezaji”, Paul Chacha. Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewataka wafanya biashara ndogondogo Mkoani Tabora kujiweka…

27 September 2025, 6:46 pm

Jamii yaaswa kujifunza lugha ya alama

Na Zabron George Katika kuadhimisha siku ya Lugha ya Alama Duniani jamii imeshauriwa kuona umuhimu wa kujifunza lugha hiyo ili iweze kusaidia kurahisisha mawasiliano kati ya watu viziwi na wale wasio viziwi. Wito huo umetolewa na katibu wa chama cha…

27 September 2025, 6:30 pm

Kiswahili kuongeza uelewa wa kisheria mahakamani

Na Wilson Makalla Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kuendesha kesi yameendelea kuibua maoni mkoani Tabora ambapo wanasheria na wananchi wametoa maoni kuhusu nafasi ya Kiswahili kwenye mfumo wa kimahakama. Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Akram…

27 September 2025, 5:50 pm

Ligi kuu daraja la kwanza mpira wa pete yaanza kitaifa Tabora

Na Kimwaga Shaban Mashindano ya ligi kuu Daraja la kwanza Taifa ya mchezo wa Pete ambayo yanafanyika katika Mkoa wa Tabora kuanzia Jumamosi Septemba 26, 2025  katika viwanja vya shule ya  Tabora wasichana (Tabora Girls). Akizungumza na UFR Mwenyekiti wa…

9 September 2025, 9:51 pm

INEC yaweka mazingira rafiki kwa wenye mahitaji maalum uchaguzi mkuu

Na Zabron G Balimponya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini, Paschal Richard Matagi amewatoa hofu Watu Wenye Ulemavu mkoani Tabora kwa kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imejiandaa kuhakikisha watu wote wenye mahitaji maalum wanapata huduma stahiki kulingana…

9 September 2025, 9:16 pm

Uwezo wa mtu utumike kusaidia mtu mwingine

Na Zabron G Balimponya Jamii mkoani Tabora imeshauliwa kutambua na  kutumia uwezo uliopo katika kila mtu mmoja mmoja ili uwezo huo usaidie kuleta manufaa kwenye maisha na kujali watu wengine . Wito huo umetolewa na Felista Michael ambae ni muwezeshaji…