Unyanja FM
Maisha na UVIKO 19
September 12, 2023, 9:24 am
Umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wana jamii na kuchukua tahadhari ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya mlipuko huo.
Mtalaam wa afya kutoka ofisi ya Mganga mkuu wilaya ya Nyasa Dr Richard Kubingwa Akitoa elimu ya uchanjaji na kujikinga na UVIKO19
Kipindi cha maisha na UVIKO19 kilichoruka radio unyanja fm january 2023 mtangazaji Godlove Matiku